MICHUZI TV: RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN IKULU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19,...
View ArticleHALMASHAURI ZATAKIWA KUVITAZAMA VIKUNDI VYA JOGGING
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiNaibu meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto ameviomba vikundi vya Jogging kuanza kujisajiri hili waweze kupata fursa za mikopo kutoka Halmashauri zao.Kumbilamoto...
View ArticleYANGA KUANZA KUJIFUA KESHO, KUSUBIRI DROO YA CAF
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiBAADA ya kurejea kutoka nchini Zambia kwenye mchezo wa kombe la Klabu Bingwa Afrika na kuondolewa kwenye michuano hiyo, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kesho kuanza...
View ArticleKONGAMANO LA MAADILI KUFANYIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM KESHO
Na Dotto MwaibaleWizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo inatarajia kufanya kongamano linalolenga maadili kwa Taifa nchini.Kongamano hilo litafanyika kesho kuanzia saa nne asubuhi Uwanja wa Taifa...
View ArticleKATIBU WA BUNGE AKUTANA NA WAWAKILISHI WA VYAMA VYA SIASA KUZUNGUMZIA...
Katibu wa Bunge ambaye pia ni msimamizi wa Uchaguzi wa Wawakilishi wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashililah akizungumza na wawakilishi mbalimbali wa Vyama vya Siasa kuhusu...
View ArticleZOEZI LA UBOMOAJI WA MAJENGO YALIYOMO KATIKA HIFADHI YA RELI KUENDELEA NCHINI...
Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) imesema zoezi la ubomoaji wa majengo yaliyomo katika hifadhi ya reli linaloendelea nchini limezingatia taratibu na sheria za uendeshaji wa reli na kwamba...
View ArticleZIFAHAMU TIMU ZILIZOINGIA NA KUTOLEWA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRIKA
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii Timu zilizofuzu hatua ya makundi klabu bingwa Africa ni kama ifuatavyo1)Zanaco-Zambia2)Mamelodi sundwon-SA3)Wydad Casablanca-Morroco4)USM Alger-Algeria5)Cotton...
View ArticleKAMISHANA JENERALI MPYA WA UHAMIAJI AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha...
View ArticleWAZIRI NAPE AUNDA KAMATI KWA AJILI YA KUCHUNGUZA TUKIO LA UVAMIZI WA KITUO...
Na Shamimu Nyaki-WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye ameunda kamati ya watu watano itayoongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt.Hassan Abbas kuchunguza...
View ArticleMBUNGE MSTAAFU WA TEMEKE ABBAS MTEMVU AFUNGUA MKUTANO WA VICOBA NA BENKI YA...
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kuondoa Umasikini Tanzania (PFT), Mbunge mstaafu wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia), akibadilishana mawazo na baadhi ya Maofisa wa Benki ya Kiislamu ya Amana,...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMEWATAKA WATANZANIA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA ZA JUU.
Na Daudi Manongi-MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli ametoa wito kwa Watanzania kuulinda mradi wa barabara za juu kwenye makutano ya barabara za Morogoro,Mandela na...
View ArticleMtanzania Dkt Harun Nyagori Apatiwa Tuzo ya Heshima ya magonjwa ya moyo...
Daktari Bingwa Mshauri Mwandamizi wa Magonjwa ya Moyo Kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Morogoro na Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Mtakatifu Fransisco, Dkt Harun Nyagori, ametunukiwa Tuzo ya Heshima...
View ArticleDC DODOMA AKUTANA NA KAMATI NDOGO YA MKOA YA URATIBU UJENZI WA UWANJA WA...
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Christina Mdeme akizungumza na Kamati ndogo ya Mkoa inayoratibu Ujenzi wa mradi wa Uwanja wa Michezo wa Kimataifa utakojengwa katika kata ya Nala Mjini Dodoma. Mwenyekiti...
View ArticleZiara ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi nchini India
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema nia ya Uongozi wa Shirikisho la Viwanda Nchini India wa kuonyesha muelekeo wa kutaka kuwekeza miradi yao katika sekta ya Kilimo utaleta...
View Article