Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa ajili ya kujitambulisha leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha kwa Rais akiwa na ujumbe aliofuatana nao.
Picha na IKULU.