Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Dk,Ameesh Mehta mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Hospitali ya Dk,MEHTA(DR MEHTAS HOSPITAL)Ilioko Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit kombo akikunjuwa kitambaa ikiwa ni ishara ya Uwekaji wa jiwe la msingi la Hospitali ya Dk,Mehta(DR MEHTAS HOSPITAL)Ilioko Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit kombo akikata utepe ikiwa ishara ya Ufunguzi wa Hospitali ya Dk,Mehta(DR MEHTAS HOSPITAL)Ilioko Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit kombo akipata maelezo kuhusiana na dawa kutoka kwa Dokta Mkuu Ameesh Mehta katika Ufunguzi wa Hospitali ya Dk,Mehta(DR MEHTAS HOSPITAL)Ilioko Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Dokta Mkuu wa Hospitali ya Dk,MEHTA,Ameesh Mehta akitoa hotuba katika Ufunguzi wa Hospitali hio Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.