![]() |
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF),Alhaj Mussa Mbaruku akiendeseha baiskeli hiyo kabla ya kumkabidhi mkazi wa Makorora Mbwana Hamisi leo kwa ajili ya matumizi yake kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Makorora Ally Kivurande |
Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF), Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na wananchi wa Makorora Jijini Tanga leo wakati wa Hafla ya Makabidhiano hayo
Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF),Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akimkabidhi Baiskeli Mlemavu wa miguu Mbwana Hamisi Mkazi wa Makorora Jijini Tanga ili iweza kumsaidia kutembea kwenye shughuli zake ambapo baiskeli hiyo ina thamani ya zaidi ya milioni moja.Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Makorora Ally Kivurande aliyevaa kanzu akimshukuru Mbunge huyo aliyesimama kulia akisalimia na mama mzazi wa Mlemavu huyo Mariam John.