Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 117162 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZ: RAIS DKT. MAGUFULI AFUTA AGIZO LA KUFUNGA NDOA KWA SHARTI LA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari Mkoani Dodoma kuhusiana na kufuta agizo lililotolewa jana na Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Wananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII YAIPONGEZA TASUBA.

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) kwa juhudi zake inazozifanya katika kuibua na kukuza vipaji vya Vijana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA MKUTANO WA ASASI YA SIASA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, usiku huu anahudhuria Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama unaojulikana kama SADC Double Troika, mjini Mbabane...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WANA CCM PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi wa Jimbo la Mkoani Pemba CCM pia Naibu Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA KUSHIRIKIANA NA MRADI WA SPANEST YAFANYA...

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Constantine Mushi amewataka wamiliki wa hoteli kuajiri wafanyakazi wenye ujuzi katika fani ya ukarimu na utalii baadala ya kuajiri ndugu zao wasio na ujuzi wowote na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA UPITIAJI/UHAKIKI WA MIPANGO KABAMBE YA AFYA YA MWAKA 2017/18...

 Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya , Dkt Zainabu Chaula akizungumza na  baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa huduma za afya,waganga wakuu...

View Article

HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI NAPE NNAUYE KWENYE KIKAO KAZI CHA MAAFISA HABARI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAPF WATOA REFLECTOR JACKET 500 KUSAIDIA BODA BODA WILAYANI KISARAWE MKOANI...

 Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe (wa pili kulia), akimkabidhi moja ya jaketi angavu (Reflector Jacket) kati ya majaketi 500 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Uganda alaani mauaji ya Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini humo,...

Raisi wa Uganda, Yoweri Kaguta Museven amelaani mauaji ya Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda ambaye pia alikuwa ni Naibu Mkuu wa Jeshi hilo, Andrew Kaweesi na walinzi wake wawili ambao...

View Article


Hotuba ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari wakati wa ufungaji wa Kikao kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA GARI YATOKEA KIMARA SUKA JIJINI DAR ES SALAAM, WAMSHAMBULIA...

Gari aina ya Mark II Grand yenye namba za usajili T145AMZ likiwa limeivaa daladala lenye namba za usajili T992DGZ lililokuwa limepaki kituoni KIMARA -SUKA jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. AYUB RIOBA AWANOA KWA SEMINA YA WELEDI WAANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA...

 Mwandishi wa habari nguli wa siku nyingi,Dk. Ayub Ryoba, akiendesha semina ya kunoa weledi wa taaluma ya uandishi wa habari kwa waandishi wa habari na baadhi ya watumishi wa Kampuni ya Uhuru...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujenzi wa barabara za juu Ubungo kugharimu shilingi bilioni 188.71

Na. Immaculate Makilika –MAELEZORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kushirikiana na Rais wa Benki ya Dunia, Dkt. Jim Yong Kim wanatarajiwa kuweka jiwe la msingi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFISA USTAWI WA JAMII AWATUPIA LAWAMA WAKUU WA IDARA KUHUSU KUFUMBIA MACHO...

AFISA Ustawi wa Jamii Wilaya ya Wete Haroub Suleiman Hemed amewatumia zigo la lawama baadhi ya wakuu wa Taasisi na Idara za Serikali kwa akidai kwamba hawana mchango wowote katika kukabiliana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MD KAYOMBO AWAONYA MAAFISA WATENDAJI WA KATA NA MITAA KUTOPOKEA RUSHWA

Na Mathias Canal, Dar es salaamMaafisa Watendaji wa Kata 14, Watendaji wa Mitaa 91 pamoja na Wahasibu wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wameonywa kutopokea Rushwa wala hongo ya aina yoyote kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Ummy atoa rai kwa madaktari kuomba nafasi za kazi Nchini Kenya

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na watoto imebainisha kuwa inatarajia kuwapeleka Madaktari wake waliopo nchini Tanzania kwenda kufanya kazi nchini Kenya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AULA UBALOZI WA BIDHAA ZA GSM

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul (Diamond Platnum) amekuwa Balozi wa Bidhaa za GSM na kuwataka watanzania wanunue bidhaa hizo kuacha kutumia gharama kwa kufuata nje...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFUNGUZI WA MASHINDANO YA MAJESHI VISIWANI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Michezo ya Majeshi ya 17 kwa mwaka 2017 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT SHEIN AFANYA UTEUZI.

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu namba 17 cha sheria ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia namba 6 ya mwaka 2016, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

View Article

WANAWAKE WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUTUNZA MAZINGIRA

Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Ruvuma kupitia chama tawala CCM JACKLINE MSONGOZI, amewataka wanawake mkoani humo kuwa mstari wa mbele katika kupambana na uharibifu wa mazingira unaofanywa na baadhi ya...

View Article
Browsing all 117162 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>