VIONGOZI WA ZFA WAWAPONGEZA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CAF
Waziri wa michezo wa Zanzibar, Rashid Ali Juma (pili kulia) akiwa na viongozi wa ZFA mara baada ya Zanzibar kutangazwa kuwa mwanachama wa 55 wa CAF.Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiChama cha mpira wa...
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA VODACOM TANZANIA PLC
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya miundombinu wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu,alipokuwa akiwafafanulia jambo wakati...
View ArticleWAZIRI NCHEMBA AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA WAANDAMIZI WA MAGEREZA NCHINI LEO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba(wa pili kulia) akiwa katika meza kuu na Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(wa pili kushoto) kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Maafisa...
View ArticleRATIBA YA ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE HII HAPA
Droo ya robo fainali ya ligi ndogo ya Ulaya (Europa League) imepangwa leo mchana.
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII YATEMBELEA AZAM MEDIA
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (aliyesimama) akiwaeleza jambo wajumbe wa kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii wakati Kamati hiyo ilipotembelea Azam Media jana...
View ArticleMAKONDA AZINDUA MRADI WA MAJI YA DAWASCO KATA YA BOKO
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na wanachi wa Kata ya Boko NHC wakati wa makabidhiano ya mradi wa maji katika Kata hiyo leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya...
View ArticleRIDHIWANI:NASHUKURU KWA KUHOJIWA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA,...
Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete ameeleza kufurahishwa kwake baada ya kuhojiwa na Mamlaka ya kuzuia na Kupambana na Dawa za kulevya nchini.Mbunge huyo amezungumza hayo jijini Dar es...
View ArticleNew Comedy Skit by ZULFIQAR MANZI: "African Uber Drivers"
In Tanzania, there are these cab drivers called, "Dala Dala". They are the most bootleg and unsafe cab drivers I've ever seen in my life. I started to ponder and think to myself...how would a Dala Dala...
View ArticleSERENGETI BOYS WAPANGWA KUNDI B KOMBE LA MATAIFA AFRIKA GABON
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiTimu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys imepangwa Kundi B katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17,...
View ArticleGRACA MACHEL AZINDUA MPANGO WA KUWAINUA WANAWAKE AFRIKA
Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Graca Machel amesema mapinduzi yanayotakiwa kufanyika hapa nchini kwa sasa ni ya kuwainua wanawake kiuchumi, kiafya na kijamii.Mama Machel, ambaye ni mke wa...
View ArticleBALOZI WA LUPEMBE AIPA MKONO WA BARAKA AZAM KWENYE MECHI YA MARUDIANO J'PIL
BALOZI wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Richard Lupembe, ameweka wazi kuwa Azam FC ni moja ya timu zinazowatia moyo Watanzania wanoishi nje ya nchi, huku akiipa mkono wa ushindi kuelekea mchezo wa...
View ArticleMakamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan amekutana na Waziri Mkuu Msumbiji...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Msumbiji Mhe. Carlos Agostinho do Rosario walipokutana na kufanya mazungumzo ya...
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA VODACOM TANZANIA PLC
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Miundombinu Mhe.Prof Norman Sigalla (katikati)akisisitiza jambo kwa Uongozi wa Vodacom Tanzania PLC wakati kamati hiyo ilipofanya ziara ya kikazi...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kabla ya mazungumzo yao, kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. (Picha na Ofisi ya...
View ArticleRais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim kuzuru Tanzania wiki ijayo
Rais wa Benki ya Dunia, Dkt. Jim Yong Kim (pichani), atafanya ziara ya kikazi nchini kuanzia tarehe 19 hadi 21 Machi 2017. Akiwa nchini, Dkt. Kim atafanya mazungumzo na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli,...
View ArticleRAIS AAGIZA WAFUGAJI WALIOWASHAMBULIA WANANCHI KWA VIBOKO WAKAMATWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani Alhaji Majid Mwanga kuwasaka, kuwakamata na kuwafikisha katika vyombo vya...
View Article