Wakulima na wafugaji wa kata ya Nkiniziwa , Nzega wanufaika na huduma za...
Mkuu wa wilaya ya Nzega Godfrey Ngupula katikati akikata utepe wakati wa kuzindua manara wa mawasiliano wa mwakashahala ulipo kijiji cha Ngukumo kata ya Nkiniziwa Wilayani Nzega ambapo pamoja na mnaro...
View ArticleAHMAD AHMAD AMBWAGA ISSA HAYOTOU UCHAGUZI WA CAF
Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) umemalizika kwa mgombea Ahmad Ahmad kutoka nchini Madagascar kupata kura 34 dhidi ya 20 za aliyekuwa rais wa zamani Issa Hayatou uliofanyika...
View ArticleMARAIS WASTAAFU WAWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU SIR GEORGE...
 Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Sir George Kaham, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu...
View ArticleWAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA WA IRINGA
Hayo ameyasema wakati wa ziara ya kikazi mkoani Iringa leo tarehe ambapo ametembelea Kituo cha Damu Salama cha Mkoa pamoja na Hospitali ya wilaya ya Mafinga“Pia naagiza Uongozi wa Hospitali zote za...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MBABANE SWAZILAND LEO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Mbabane – Swaziland leo 16-Mar-2017 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya...
View ArticleWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA NA VIFAA TIBA KUTOKA SERIKALI...
Mkurugenzi Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad amesema upatikanaji wa huduma ya dawa muhimu katika wodi za wazazi umefikia asilimia 96 na wazazi wamekuwa wakipata huduma bila usumbufu.Amesema...
View ArticleGAPCO yatoa baiskeli kwa wanafunzi wenye ulemavu
GAPCO Tanzania ikishirikiana na Network 21 ya Afrika Kusini imetoa baiskeli kwa wanafunzi wenye ulemavu wa Shule ya Matumaini ya Jeshi la wokovu ikiwa ni sehemu ya mchango wa kampuni hiyo kwa...
View ArticleTANGA UWASA INAHITAJI BILIONI 15 KUTEKELEZA MPANGO WA KUSAFISHA MAJITAKA
MAMLAKA ya Majisafi na Majitaka katika Jiji la Tanga (Tanga-Uwasa), linahitaji kiasi cha shilingi bilioni 15 hadi 20 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kusafisha majitaka yaweze kutumika kwa...
View ArticleALIKIBA, DIAMOND KUSHIRIKI PAMOJA NYIMBO YA KUHAMASISHA SERENGETI BOYS
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.KUELEKEA fainali ya kombe la Mataifa Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 nchini Gabon, kamati ya hamasa kwa Serengeti Boys inayoongozwa na Mwenyekiti Charles Hilal...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATEMEBELEA ENEO LA UJENZI WA IKULU MPYA KIJIJINI CHAMWINO,...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitoa maelekezo  wakati alipotembelea na  kukagua eneo linapojengwa Ikulu mpya kijijini Chamwino nje kidogo ya mji wa Dodoma...
View ArticleTANGAZO LA KUPOTEA KWA KIJANA ERICK RAPHAEL MSYALIHA ,ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE
Pichani ni Kijana anayefahamika kwa jina la ERICK RAPHAEL MSYALIHA anayeishi Sinza-Mugabe ametoweka Ghafla Tarehe 13.03.2017 majira ya usiku alipochukuliwa na watu wasio famika akiwa mitaa ya...
View ArticleMsifungishe ndoa bila ya kuona vyeti vya kuzaliwa vya wahusika
 Waziri wa Mambo ya Katiba Na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe ameagiza kuwa kuanzia tarehe 1 Mei, 2017  ndoa zote zifungwe baada ya wanaotaka kufunga kuwasilisha kwa vyeti vya kuzaliwa kwanza. Hivyo,...
View ArticleTANGAZO YA KIFO CHA MR. RAPHAEL FREDERICK MALIKA
Family ya Frederick Malika ya Kijitonyama Dar es Salaam inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Mr. Raphael Frederick Malika kilichotokea Jumanne Tarehe 14 March 2017 hospitali ya Muhimbili....
View Articlewww.wasafi.com mkombozi wa wanamuziki tanzania amewasili
Hii ndio namna ya kununua Nyimbo ya msanii umpendae kwenye @wasafidotcom com kwa Wateja wa @VodacomTanzania ...Hii ni kwa walioko Tanzania tu... walioko nchi zaa jirani ntawapostia soon maelezo yenu!...
View ArticleRAIS WA TFF AREJEA, AZUNGUMZIA UCHAGUZI WA CAF
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiJOPO la viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) limeingia mchana huu kutoka Addis Ababa, Ethiopia kulipokuwa na uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira barani...
View ArticleMAFUNZO YA UJASIRIAMALI YAFUNGWA RASMI MKOA WA MBEYA
Mhandisi Cosmas Kinasa akizungumza machache wakati akifunga rasmi semina ya ujasiriamali ya "Manjano Dream-Makers" kwa wanawake wa mkoa wa Mbeya akimwakilisha meneja wa SIDO Mkoa wa Mbeya. Mafunzo ya...
View ArticleMSEMAJI WA JESHI LA POLISI NCHINI UGANDA AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI
Msemaji na Kaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Uganda, Andrew Felix Kaweesi pamoja na walinzi wake wawili wameuwawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya leo na watu wasiojulikana mita chache kutokea nyumbani...
View Article