FEDHA YA UBORESHAJI WA MIJI ZINATAKIWA KUSIMAMIWA KWA UMAKINI –JAFFO
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiNaibu Waziri Ofisi ya Rais –Tamisemi Suleiman Jaffo amesema kuwa fedha zinazotolewa na Benki ya Dunia kwa ajili ya mradi wa uboreshaji wa miji zinatakiwa kusimamiwa kwa...
View ArticleKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA SHIRIKA...
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongoza Kikao kazi cha Shirika la Uzalishaji mali la Magereza ambapo katika Kikao hicho cha siku mbili Wakuu wa miradi watapata fursa ya kuelezea...
View ArticleWIZARA YAKEMEA UBAKAJI WA MTOTO MKOANI IRINGA
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inakemea vikali tukio la kubakwa kwa binti wa miaka saba (jina limehifadhiwa) mkazi wa kata ay Kitanzini, mwanafuzi wa darasa la awali shule...
View ArticleMashindano Ya Taifa Ya Kuogelea Kufanyika Aprili 7 na 8 Jijini Dar es Salaam
Mashindano ya kutafuta bingwa wa Taifa wa mchezo wa kuogelea yamepangwa kufanyika Aprili 7 na 8 kwenye bwawa la kuogelea la shule ya Heaven of Peace Academy (Hopac) iliyopo Kunduchi Mtongani.Mashindano...
View ArticleTFF YAGONGA MWAMBA TRA, OFISI ZAENDELEA KUFUNGWA
TFF YAGONGA MWAMBA TRA, OFISI ZAENDELEA KUFUNGWANa Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF limeendelea kuwa katika sintofahamu baada ya ofisi zake kufungwa na Mamlaka ya...
View ArticleRC PAUL MAKONDA ATIMIZA MWAKA MMOJA SASA,AZUNGUMZA NA KULA NA WAATHIRIKA WA...
Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali,wakiwemo Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa jiji la Dar,viongozi wa Dini mbalimbali,Wasaniii na vijana kutoka vituo...
View ArticleWAZIRI NAPE AZIFAGILIA KURUGENZI YA MAWASILIANO IKULU NA IDARA YA HABARI...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye (pichani) amezipongeza Kurugenzi za Mawasiliano ya Rais, Ikulu, na Idara ya Habari MAELEZO kwa ubunifu na weledi wanaouonesha katika kuelezezea...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU YA CHAMWINO,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Machi 15, 2017Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleMICHUZI TV: MISS TANZANIA 2014 NARGIS MOHAMED NA NAFUE NYANGE WAFUNGUA DARASA...
Miss Tanzania 2014, Nargis Mohamed na Nafue Nyange wameamua kufungua shule ya urembo watakayokuwa wakitoa elimu kwa njia ya mtandao. Akizungumza jijini Dar es Salaam Nargis alisema kuwa wameamua...
View ArticleCHAMA CHA MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO KUFANYIA MATIBABU WATOTO 53
Daktariwa Kinywa na Meno Hospitali ya Sinza Dar es Salaam, Idd Khery akimfanyia matibabu ya Kinywa na Meno mwanafunzi wa Darasa la 3 Shule ya Msingi Jumuishi Buhangija, Rajabu Yahaya katika Hospitali...
View ArticleMKURUGENZI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA TANZANIA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA...
Bw. Alvaro Rodriguez ambaye ni Mwakilishi Mkazi wa Mashirika matatu ya Umoja wa Maifa nchini Tanzania (IOM, UNICEF na UNDP) akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu mara...
View ArticleKamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) leo imevitembelea vituo vya utangazaji vya CLOUDS MEDIA GROUP, ikiwa katika ziara ya kawaida ya kuvitembelea vituo vya utangazaji nchini...
View ArticleRC Rugimbana: Vyuo vitoe ushirikiano wa kutosha kwa HESLB
Mkuu wa Mkoa (RC) wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana amezikumbusha taasisi za elimu ya juu nchini kuhakikisha zinaongeza uwezo wa madawati ya mikopo yaliyopo katika taasisi zao ili yaweze kutoa...
View ArticleWATENDAJI WA SERIKALI WAAGIZWA KUWALINDA WAWEKEZAJI WAZAWA
Serikali imewataka viongozi wa kisiasa pamoja na watendaji wa serikali kutotumia madaraka yao vibaya kuwanyanyasa na kuwasumbua wawekezaji wazawa waliowekeza ndani ya nchi. Aidha viongozi hao...
View ArticlePLUIJM MBIONI KUKABIDHIWA MIKOBA YA KUINOA SINGIDA UNITED
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMholanzi Hans Van De Pluijm yuko mbioni kujiunga na timu ya Singinda United ambayo imepanda ligi kuu msimu ujao ikiwa ni katika kukiboresha kikosi hicho.Timu hiyo kwa...
View ArticleKITUO CHA EATV NA TAASISI YA HAWA YAWASHUKURU WATANZANIA KWA KUFANIKISHA...
Kituo namba moja kwa vijana East Africa Television (EATV) Limited kikishirikiana na Taasisi ya Haki za Wanawake (HAWA foundation) kinapenda kutoa shukrani za dhati, kwa umma wa watanzania kwa...
View ArticleJesca Honole maarufu kama ‘Jesca BM.’achomoza tamasha la pasaka
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka chini ya mwenyekiti wake Alex Msama, limeanza kutaja waimbaji wa nyimbo za injili watakaoshambulia ‘tamasha la mwaka huu.Mwimbaji wa kwanza kutajwa na Kamati...
View Articlemakonda afungua wiki ya maji dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiongea na baadhi ya Viongozi na Watendaji wa Mashirika ya DAWASA na DAWASCO pamoja na Waandishishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani...
View Article