Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 117164 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Filam ya Kiumeni kuanza kuonyeshwa kesho katika ukumbi wa sinema wa Mlimani City

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiFilamu ya Kitanzania ya Kiumeni chini ya Muigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini, Ernest Napoleon itaonyeshwa kwa mara ya kwanza Jumatano hii katika ukumbi wa sinema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJENGONI BENDI KUFANYA UZINDUZI RASMI MARCH 3 KATIKA UKUMBI WA TRIPLE A SPORT...

Bendi mpya ya mziki wa dance ijulikanayo kwa jina la Mjengoni classic band inatarajia kufanya utambulisho wao rasmi kwa mara ya kwanza mapema march 3 katika ukumbi wa Triple A spot bar uliopo ndani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS APOKEA TAARIFA YA AWALI YA UTEKELEZAJI WA UAMUZI WA KUHAMIA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa mkoa wa Dodoma uhakikishe unaondoa vitendo vya ukiritimba kwa baadhi ya watendaji wa serikali ambavyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDDI ATAHADHARISHA WANANCHI...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ametahadharisha Wananchi kwamba itakapofikia hatua ya kupatikana kwa rasilmali ya Mafuta na Gesi Asilia Visiwani Zanzibar isijekuwa chanzo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. MUHONGO AZINDUA MRADI WA UMEME VIJIJINI AWAMU YA TATU MKOA WA PWANI.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa Tatu kushoto), Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (wa kwanza kulia), Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AFUNGA SEMINA YA WATENDAJI, WENYEVITI NA...

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa wakati wa kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE KUWACHONGEA VIONGOZI WANAOKALIA TAARIFA

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye amesema  kuna athari kubwa za kutotoa taarifa muhimu na za wazi zinazohitajika na wananchi hivyo kuwanyima haki ya kujua utendaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUZI TV: USHAHIDI KESI YA WEMA SEPETU NA WENZAKE BADO HAUJAKALIMIKA,...

Miss Tanzania 2006 na Msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu akiwasili  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es salaam leo alipofika kusikiliza kesi inayomkabili ya kukutwa na dawa za kulevya. Na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Engine, gear box na spares za Discovery, Defender na Range Rover zinapatikana...

Tunauza Engine za Discovery, Defender Range Rover, Gear Box, na Spare nyingine kwa bei nafuu. Bei ya Engine ni 4.7 Milion Gear Box 2.5 Milion. tunaleta kutoka U.K zipo Dar es Salaam kwa maelezo zaid...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TTB STRATEGIZES TO FULLY PENETRATE INTO EUROPEAN AND AMERCAN TOURIST MARKETS.

Tanzania Tourist Board (TTB) has signed special contracts with three consultant agencies from Europe and America to develop special marketing strategy for Germany, U.S.A and United Kingdom as part of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kivuko cha MV Sabasaba chaendelea kupiga mzigo

Kivuko cha MV Sabasaba kinachotoa huduma ya kuvusha magari na abiria kati ya Kigongo na Busisi katika Ziwa Victoria kikiwa kinaelea katika ziwa hilo mjini Mwanza. Baadhi ya magari ya watu binafsi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUZZZZZ.....: TRA YAPIGA KUFULI OFISI ZA TFF MCHANA HUU

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezifungia ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) leo na kuamrisha kuacha kila kitu ndani, hali hiyo imefikiwa kufuatia deni kubwa la kodi wanalodaiwa TFF....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KAHAMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo ya Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa kwanza katika serikali ya awamu ya kwanza, Sir George...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA SIR GEORGE KAHAMA KUFANYIKA KESHO, SPIKA MSTAAFU ANNE MAKINDA ATOA...

Na Dotto MwaibaleMAZISHI ya aliyekuwa Waziri na Mwanasiasa Mkongwe Sir George Kahama yanatarajiwa kufanyika kesho kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAAJIRI NA WATUMISHI WA UMMA NCHINI: OPRAS IPO KWA SHERIA HIVYO NI WAJIBU...

Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Mick Kiliba (wa kwanza kulia) akizungumza mapema leo katika kipindi cha JAMBO kinachotangazwa na TBC One kuhusu Mfumo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI WAJIBU WA MAOFISA MAWASILIANO KUHUISHA TOVUTIZAO-DKT JABIRI

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo BI. Nuru Milao (kulia)  akichangia mada katika kikao  Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU MEYA TEMEKE AAGIZA SOKO LA STERIO APEWE MZABUNI

Na Humphrey Shao, Globu ya jamiiNaibu Meya wa Manispaa ya Temeke, Feysal Salum, ameagiza kuanzia sasa Soko la Matunda la Temeke Sterio kupewa mzabuni wa ukusanyaji mapato ili kuongeza ufanisi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA SITA WA PAKISTANI NA MMOJA WA SRI-LANKA WAPANDISHWA KIZIMBANI MAHAKAMA...

Karama Kenyunko wa blogu ya jamii.Raia sita wa Pakistani na mmoja wa Sri-Lanka wanaoishi  jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakamani wakikabiliwa na mashitaka saba likiwemo la kula njama,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

QUALITY GROUP WADHAMIRIA KUKUZA KIPATO CHA WANANCHI NCHINI

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKAMPUNI ya Quality Group imedhamiria kuendelea kujikita zaidi katika sekta mbalimbali zikiwemo za madini, kilimo cha sukari na kuanzisha kwa kiwanda na  usambazaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WA S/SEK KATA YA PANGANI WATEMBEA KM 34 AMA KUTUMIA PIKIPIKI SH.10,000

Na Mwamvua Mwinyi,KibahaWANAFUNZI wa shule ya sekondari ya kata ya Pangani,Kibaha Mji,wanakabiliwa na adha ya kutembea umbali wa km.34 kila siku,hali inayosababisha baadhi yao kuwa watoro, kukatisha...

View Article
Browsing all 117164 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>