MAAFISA MAWASIALIANO SERIKALINI WATAKIWA KUUZA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI.
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DodomaNaibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Bibi. Nuru Millao amewataka Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kuuza huduma zitolewazo na Wizara au...
View ArticleLIONS CLUB DAR ES SALAAM -PANORAMA YATOA TIBA YA MACHO KWA WAKAZI 2,000 VIGWAZA
Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (wa nne kulia), akiwa katika picha ya pamoja na diwani wa Vigwaza Mohsin Bharwani (kulia kushoto kwake) pamoja na uongozi wa Lions club dar es...
View ArticleProf. Muhongo azindua Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu mkoa wa Pwani
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati), Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo (wa kwanza kushoto), Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa pili kushoto),...
View ArticleIn Loving Memory
Born 06/04/1935 – Died 15/03/2016One year has passed since that sad day you departed from our midst to be with the Lord on 15/03/2016 . The heartbreak and pain that we felt has not and will never...
View ArticleWAZIRI NAPE AWATAKA MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI KUTENDEA HAKI SHERIA YA...
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa Kikao kazi cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma.Kulia kwake...
View ArticleMASAUNI AWATAKA MAAFISA MAGEREZA KUONGEZA KASI YA UZALISHAJI NCHINI, AFUNGUA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa suti) akiongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, (CGP) Dkt. Juma Malewa (mbele), kuingia ukumbini kwa ajili ya...
View ArticleJALADA KESI YA NIDA LIPO KWA DPP
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeelezwa kuwa jalada la kesi ya uhujumu uchumi na kusababisha hasara ya bilioni 1.16 inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa...
View ArticleTANTRADE yawapiga msasa watendaji kata 23 Temeke
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) , Bw. Edwin Rutageruka akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya biashara na ujasiriamali kwa maofisa watendaji kata wa...
View ArticleSALUM KABUNDA MCHEZAJI BORA VPL WA MWEZI FEBRUARI
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKIUNGO mshambuliaji wa Mwadui FC, Hassan Salum Kabunda amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa mwezi Februari, mwaka huu.Ofisa Habari...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA TANGA ATEMBELEA UJENZI WA MFEREJI WA MAGAONI UNAOJENGWA...
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku (aliyevaa shati la draft) wa kwanza kulia akiangalia namna uchimbaji wa mfereji wa kupitishia maji wakati wa mvua unavyochimbwa wakati alipofanya...
View ArticleDKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA BRAZIL NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Brazil katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Carlos Alfonso lglesias Puente alipofika Ikulu...
View ArticleRC MAKONDA AFANYA ZIARA BONDE LA MTO MSIMBAZI
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika ziara ya kukagua sehemu zilizokumbwa na mafuriko katika bonde la Mto Msimbazi, baada ya mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali jijini...
View ArticleJESHI LA MAGEREZA KUPOKEA MAGARI 450 AINA YA ASHOK LEYLAND KWA SHUGHULI ZA...
Na Lucas Mboje, Dar es SalaamKAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa(pichani) ameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kufanikisha mchakato wa...
View ArticleTAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA OPEN HEART YA...
Jumla ya wagonjwa 11 wamefanyiwa upasuaji wa moyo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo inayofanywa na madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA DUKA LA HUDUMA KWA WATEJA SHINYANGA
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imezindua Duka la Huduma ya wateja mjini Shinyanga kwa lengo la kurahisha huduma zinazotolewa na kampuni hiyo kwa wananchi wa mkoa wa Shinyanga.Mgeni...
View ArticleNGOMA, TAMBWE WAENDELEA KUUGUZA MAJERAHA WAKATI YANGA IKIJIFUA
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi yake leo kwenye Uwanja wa Taifa ikiwa ni maandalizi ya kuelekea mechi ya marudiano ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya...
View ArticleBancABC YAZINDUA AKAUNTI MAALUM NA YA KIPEKEE
BancABC, ambayo ni sehemu ya Atlas Mara, leo imezindua bidhaa adimu itakayokuwezesha kuvuna riba hadi asilimia 16% kutokana na akiba maalum utakayojiwekea.Katika hali ya kawaida kama tulivyozoea,...
View ArticleRC MAKALLA AWAOMBA VIONGOZI WA DINI NA MILA KUWAEPUSHA WANANCHI NA IMANI ZA...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala ameitisha kikao na viongozi Dini na mila kuwaomba msaada wa kukemea vitendo vya kishirikina katika mkoa huo. Makala amesema hayo katika kikao chake na Viongozi hao...
View ArticleUSHAHIDI DHIDI YA KESI YA WABUNGE WA CHADEMA WAFUNGWA
Na Karama Kenyunko.Upande wa Mashtaka katika kesi ya kujeruhi inayowakabili wabunge na makada wa Chadema wamefunga ushahidi wao. Katika kesi hiyo wabunge hao wanadaiwa kumjeruhi Katibu Tawala wa Mkoa...
View Article