Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya , Dkt Zainabu Chaula akizungumza na baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa huduma za afya,waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa na Mikoa nchini juu ya Upitiaji/Uhakiki wa Mipango Kabambe ya Afya ya mwaka 2017/18 kwa kuhusisha ngazi za Mikoa, Halmashauri na Wizara ,Mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya , Dkt Zainabu Chaula akiwaonyesha Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa huduma za afya,waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa na Mikoa nchini juu ya Upitiaji/Uhakiki wa Mipango Kabambe ya Afya ya mwaka 2017/18 kwa kuhusisha ngazi za Mikoa, Halmashauri na Wizara ,Mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya, Dkt Zainabu Chaula akizungumza na baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa huduma za afya,waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa na Mikoa nchini juu ya Upitiaji/Uhakiki wa Mipango Kabambe ya Afya ya mwaka 2017/18 kwa kuhusisha ngazi za Mikoa, Halmashauri na Wizara ,Mjini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Huduma za Afya Idara ya Afya Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR-TAMISEMI), Dkt Anna Nswira akizungumza na baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa huduma za afya,waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa na Mikoa nchini juu ya Upitiaji/Uhakiki wa Mipango Kabambe ya Afya ya mwaka 2017/18 kwa kuhusisha ngazi za Mikoa, Halmashauri na Wizara ,Mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Wizara ya Afya ,Dkt Doroth Gwajima akizungumza na baadhi ya wajumbe wa timu za uendeshaji wa huduma za afya,waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na waganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa na Mikoa nchini juu ya Upitiaji/Uhakiki wa Mipango kabambe ya Afya ya mwaka 2017/18 kwa kuhusisha ngazi za Mikoa, Halmashauri na Wizara ,Mjini Dodoma.