Waziri Mahiga akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Arkadia Ltd
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ARKADIA Ltd. Dr. Ezio Copat walipokutana kwa mazungumzo...
View ArticleMBOWE AGONGA MWAMBA MAHAKAMA KUU
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ya kutaka asikamatwe hadi kesi yake ya kikatiba...
View ArticleYANGA WAKATA RUFAA KADI YA NJANO ALIYOPEWA CHIRWA
Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.Baada ya kutoka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu Tanzana Bara uliopigwa jana katika Uwanja wa Taifa hatimaye uongozi wa klabu hiyo...
View ArticleNAIBU KAMISHNA MKUU WA SHIRIKA LA FORODHA LA KOREA ATEMBELEA TRA
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kidata (kulia) akimkaribisha Naibu Kamishna Mkuu wa Shirika la Huduma za Forodha la Korea (Korea Customs Service-KCS) Dk. Jong-Yeul Kim...
View ArticleSIMBA WAINGIA MAWINDONI KUSAKA POINTI 3 ZA MBEYA CITY JUMAMOSI
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKikosi cha Simba kimeeendellea na mazoezi katika viwanja vya Chuo cha Polisi Kilwa kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa l.igi kuu dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Jumamosi...
View ArticleSERIKALI YANUNUA MTAMBO WA KISASA WA MILIOINI 101.
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wamenunua mtambo mpya wa kisasa unaojulikana kama ‘Energy Dispersive X-Ray Fluorescence Spectrometer’ (EDXRF) kwa ajili ya...
View ArticleRAY KUZINDUA FILAMU YAKE MPYA 'GATE KEEPER' KESHO QUALITY CENTER JIJINI DAR
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMsanii wa Bongo Movie , Vicent Kigosi 'Ray' kesho anatarajia kuzindua filamu yake mpya,itakayojulikana kwa jina la Gate Keeper katika ukumbi wa Sinema wa Quality...
View ArticleWAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA KAMATI INAYOSGHULIKIA MGOGORO WA LOLIONDO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akipokea Taarifa ya Kamati inayoshughulikia Mgogoro wa Loliondo Kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati amabye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bwana Mrisho Gambo, Wanao...
View ArticleVIONGOZI WA MIKOA NA WILAYA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO KUIBUA...
Na Rhoda Ezekiel -Globu ya Jamii,Kigoma,VIONGOZI wa Mikoa na Wilaya wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuibua fursa za uwekezaji na kuibua miradi itakayo wawezesha Wananchi kunufaika na...
View ArticleTAHMEF YAENDELEA NA KAMPENI YAKE YA KUBORESHA AFYA YA WANAWAKE NA WATOTO NCHINI.
Na Bakari Issa Madjeshi,Globu ya JamiiShirika la Afya na Elimu ya Tiba-TAHMEF linatarajia kuendelea na Kampeni yake ya kuboresha Afya ya Wanawake na Watoto ili kuboresha Afya Bora na Ustawi.Akizungumza...
View ArticleSINA WA KUMLAUMU KWA KIPIGO DHIDI YA YANGA- MALALE HAMSINI
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKocha Mkuu wa Ruvu Shooting, Malale Hamsini ameweka wazi kuwa wachezaji walishindwa kuzitumia nafasi za wazi walizozipata katika mchezo wao dhidi ya Yanga na kuambulia...
View ArticleMh. Mwakyembe ashuhudia MV. Ruvuma ikiingizwa Ziwa Nyasa kwa majaribio
Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe, Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria na Mbunge wa Kyela , ameshudia zoezi la kuingizwa majini kwa Meli mpya ya pili ya mizigo iitwayo MV Ruvuma kwenye bandari ya Itungi,...
View ArticleWATU WATATU RAIA WA BURUNDI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKAONI KIGOMA
Na Rhoda Ezekiel Kigoma.WATU watatu raia wa Nchi ya Burundi waliopewa hifadhi katika Kambi ya wakimbizi ya Mtendeli Mkoa wa Kigoma,wanashikiliwa na Jeshi la Polisi la hapo,kwa tuhuma za upangaji wa...
View ArticleRAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA KIWANDA CHA VIGAE CHA CERAMIC GOODWILL
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe mara baada ya kuweka jiwe la msingi la kiwanda cha kutengeneza vigae (Tiles) cha Tanzania Goodwill Ceramic Tiles Ltd....
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU NNE MIKOA YA KUSINI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli.FUATILIA TBC NA ZIARA HII LIVE: BOFYA HAPA
View ArticleMAMLAKA YA BIMA TANZANIA YAITAKA NIC KUWA KINARA WA BIMA NCHINI
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Sam Kamanga kushoto akizungumza na ujumbe wa Mamlaka ya Bima nchini ukiongozwa na Kamishina wa Mamlaka hayo Dk. Baghayo Saqware (kulia),...
View ArticleBALOZI WA KUWAIT , JASEM AL-NAJEM AZINDUA VISIMA VINNE KATIKA SHULE NNE ZA...
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiUbalozi wa Kuwait nchini umekabidhi visima vinne katika shule za msingi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.Shule za Msingi zilizopata visima hivyo ni Yombo, Umoja ,...
View ArticleMUFINDI YASAINI MIKATABA YA ZAIDI YA TSH. BILIONI MOJA KUTENGEZEZA KM 151 ZA...
Halmshauri ya Wilaya ya Mufindi imesaini mikataba yenye zaidi ya Tsh. Bilioni moja na wakandarasi wa Barabara kwa lengo la kuzifanyia matengenezo baadhi ya barabara zilizo chini ya halmashauri hiyo,...
View Article