Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 117409 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BADO SIKU MOJA KUTHIBITISHA KWENDA KWENYE MKUTANO WA UWEKEZAJI ITALY

Chemba ya biashara, viwanda na kilimo( TCCIA) inatarajia kufanya ziara ya kibiashara nchini Italy na Uturuki ambapo Chemba inapenda kuwakaribisha wafanyabiashara walio wanachama na wasio wanachama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA KUJADILI UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA ISTANBUL...

Tanzania imeshiriki katika Mkutano ulioitishwa na Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa inayoshughulikia masuala ya Nchi Masikini Duniani kushiriki katika Mkutano wa kujadili utekelezaji wa Programu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS MACHI 3,2017

KUSOMA MAGAZETI YA LEO BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUZI TV: Filamu ya Maisha ni Siasa yawekwa mtandaoni kuwapa uhuru watazamaji

Filamu ya Maisha ni Siasa ni sinema ya kitanzania inayoonyesha pilikapilika za wanasiasa katika chaguzi za Afrika. Imechezwa na Paul Mashauri, Loue Kifanya, Violet Mushi, Bahati Chando, Lilian Mwasha,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NA COMORO NCHINI,LEO...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt,ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha kwa Hisani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZUIO LA USAFIRISHAJI WA MAKINIKIA (CONCENTRATES) NA MAWE YENYE MADINI (ORE)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. SHEIN AZUNGUMZA NA MABALOZI WALIOTEULIWA KUIWAKILISHA TANZANIA NCHI ZA NJE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Dkt. Pindi Kichana anayeiwakilisha Tanzania Nchini Kenya akiwaongoza Mabalozi wengine walioteuliwa hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENYE VISIMA VYA MAJI ILALA WAPEWA TAHADHALI

Meneja wa DAWASCO Mkoa wa Ilala, Ndugu Christian Kaoneka akiongea na waandishi wa habari juu  Mpango mahususi Kwa watumiaji wa huduma ya Maji ya visima kujiunga rasmi na mfumo wa Majisafi kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA KUKWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI UNAOFADHILIWA NA TAASISI YA...

Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi Kupitia Tasnia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation utaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAWI LA MPIRA PESA KUANZA KUFANYA USAILI WA WANACHAMA JUMAPILI

Mwenyekiti wa Tawi la mpira pesa Ustadhi Masoud Hassan akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kufanya usaili wa wanachama wa tawi hilo kuanzia Machi 05.Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Tawi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Puma Energy yazindua kampeni ya Usalama barabarani.

KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania leo wamezindua kampeni maalumu ya Usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi, ikiwa ni mkakati wa kampuni hiyo kueneza elimu hiyo muhimu kuanzia ngazi ya chini....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KAZI CHA MAWAZIRI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao cha Kazi cha Mawaziri alichokiitisha kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 3, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Tano wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar wahitimishwa

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itafungua tena kazi za uchimbaji  mchanga kuanzia Jumatatu ya Tarehe 6 Machi 2017 ikilazimika kuchukuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba hii leo amekutana na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird.  Katika mazungumzo yao Mwakilishi huyo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

U.S. GOVERNMENT SPONSORS ANTI-CORRUPTION TRAINING IN TANZANIA

Dar es Salaam, TANZANIA. From February 27 to March 3, U.S. trainers with expertise in rule of law conducted anti-corruption training for 15 Tanzanian investigators and prosecutors from the Prevention...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA na Bodi ya Mapato Zanzibar wasaini makubaliano ya mafunzo juu ya namna ya...

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) wamesaini makubaliano ya mafunzo yatakayowaongezea uwezo na namna bora ya ukusanyaji  mapato (kodi)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANA FA AWEKA WAZI DUME SURUALI ILIVYOMSUMBUA

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMsanii wa muziki wa bongo fleva anayefanya vizuri katika soko la muziki na wimbo wake wa Dume Suruali Dume kaptula Khamis Mwijuma ‘Mwana FA’ amesema ilimchukua muda sana...

View Article


MICHUZI TV: IGP MANGU AKEMEA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA LINDI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MIEZI MINNE MRADI WA MAJI WA NG’APA MKOANI LINDI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge kuhakikisha kuwa Mradi wa Maji wa Ng’apa uliopo mkoani Lindi unakamilika...

View Article
Browsing all 117409 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>