$ 0 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao cha Kazi cha Mawaziri alichokiitisha kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Machi 3, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).