RUVUMA TV: MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA ILYANA WASIMULIA CHANZO CHA AJALI
Watu watatu wamefariki na 28 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la kampuni ya ILYANA yenye namba T 202 DGK , inayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Songea Mkoani Ruvuma
View ArticleIntroducing New Comedy Video by Zulfiqar Manzi: How African men flirt with women
See this young Tanzanian kid being creative in a positive way...
View ArticleIN LOVING MEMORY
Rabbiel Daniel Swai (7/3/1941 – 3/3/1997)It's been 20 years today since you departed us. It broke our hearts to lose you, but you did not go alone. A part of us went with you, the day God took you...
View ArticleSINGIDA TUMEFIKISHA MADAKTARI BINGWA KWA WANANCHI NA ZOEZI HILO NI ENDELEVU;...
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Rehema Nchimbi ameagiza Kliniki tembezi ya huduma za kibingwa kwa mkoa wa Singida kuwa endelevu huku akizielekeza halmashauri kuandaa mpango wa utekelezaji wa zoezi hilo...
View ArticleSHILINGI MILIONI 10.8 ZAKUSANYWA KATIKA VITA YA UVUVI HARAMU GEITA
Wito umetolewa kwa wananchi ambao wanafanya shughuli za uvuvi Mkoani Geita,kuendelea kutoa ushirikiano kwa serikali kwa kuwafichua wale ambao wamekuwa wakijihusisha na shughuli ya uvuvi haramu katika...
View ArticleWANAFUNZI WAUGUZI WA CHUO KIKUU CHA WRIGHT, JIMBO LA UHAYO MAREKANI...
Kaimu Mkuu wa Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Amina Abdulkadir akizungumza na wanafunzi wauguzi wa Chuo Kikuu cha Wright Jimbo la Ohayo nchini Marekani...
View ArticleMD KAYOMBO: YALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO
Na Mathias Canal, Dar es salaamMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo amewataka wenyeviti wa Mitaa iliyopo katika Manispaa hiyo kutumia vyema nafasi zao za uongozi kwa...
View ArticleRC MAKONDA AWEKA JIWE LA MSINGI KUANZA UJENZI WA KIWANJA CHA BANDARI JIJINI...
Bila shaka kila mmoja wetu anakumbuka ahadi ya RC Makonda aliyoitoa mwaka jana ya kujenga viwanja vitatu (3) vya mpira kwa ajili ya maendeleo ya mashindano mbalimbali ya michezo ikiwemo Ndondo Cup...
View ArticleJAFFO AZITAKA HALMASHAURI NCHINI KUCHAPA KAZI KWA BIDII
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi),Mh.Suleiman Jaffo amewataka watumishi katika halmashauri zote nchini kuacha kufanya kazi kwa mazoea badala yake wawe wabunifu...
View ArticleWANANCHI ARUSHA WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA KUPIMA AFYA ZAO BURE KATIKA WIKI...
Na Woinde Shizza,ArushaMaadhimisho ya wiki ya wanawake duniani yameanza rasmi mkoani Arusha ambapo wananchi wa mkoa wa Arusha pamoja na vitongoji vyake wamepata fursa ya kupata huduma ya kupima...
View Articlejumapili ambayo tutamwabudu Bwana kwa Wimbo mmoja aliotupa
Shalom!Ni jumapili hii ya March 5,2017Bwana ametupa kumfanyia Ibada ya kumwabudu kwa Wimbo Mmoja!Tafadhali unakaribishwa sana!Kwa niaba ya waandaaji, Ninakuomba UTUOMBEE, Utusaidie kuwakaribisha...
View ArticleNSSF Yaendesha Kampeni ya Wakulima ili Kuwapa Huduma ya Hifadhi ya Jamii
Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Omary Mziya akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mpango wa Uwezeshaji Masoko, Mtaji na Hifadhi ya Jamii katika Hafla ya ufunguzi iliyofanyika mkoani Manyara.Meneja...
View ArticleKilo mbili za heroin na scania lililosheheni pombe za viroba lakamatwa Rukwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kamishna mstaafu Zelote Stephen amelipongeza jeshi la polisi Mkoani Rukwa kwa kufanikiwa kukamata kilo mbili za madawa ya kulevya yadhaniwayo kuwa ni heroin na lori la scania...
View ArticleSHEREHE YA KUUAGA MWAKA 2016 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2017 PAMOJA NA KUAGA...
Hapa ni ndani ya ukumbi wa NSSF Mjini Shinyanga ambapo usiku wa Ijumaa Machi 3,2017 Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017 pamoja na kuwaaga...
View ArticleAfDB commends President Magufuli for boosting his country’s economy
By Staff Reporter-MAELEZOAfrican Development Bank (AfDB) Board of Directors has commended President Dr. John Pombe Magufuli for his efforts in bringing economic revolution in the country.The AfDB board...
View ArticleFM ACADEMIA YAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA KIMARA BARUTI NA MITAA YAKE
Wanenguaji na wanamuziki wa bendi ya Fm Academia wakitumbuiza katika onyesho lao lililofanyika katika Bar ya Hawa II kimara baruti jijini Dar es Salaam Safu ya uimbaji ya bendi ya Fma Academia...
View Article