$ 0 0 Watu watatu wamefariki na 28 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la kampuni ya ILYANA yenye namba T 202 DGK , inayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Songea Mkoani Ruvuma