TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE IKSHIRIKIANA NA TAASISI YA SAVE CHILD HEART...
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Godwin Sharau akiongea na waandishi wa habari kuhusu watoto nane wanaokwenda nchini Israel kwa ajili ya...
View ArticlePROF. MBARAWA AZINDUA SCANNER MPYA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa scanner mpya ambazo zimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Wa tatu kushoto ni...
View ArticleIFC yazindua kampeni ya kukuza uelewa kwa watumiaji wa simu, kutuma na...
Taasisi tanzu ya Benki ya Dunia, IFC imezindua kampeni ya Huduma ya kutumia fedha kwenda mtandao wowote bila garama.Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mifumo ya...
View ArticleRIWAYA KUPATIKANA KUPITIA PROGRAMU MAALUM NCHINI
Na Daudi Manongi-MAELEZO.Umoja wa waandishi wa Riwaya wenye Dira (UWARIDI) umezindua mfumo maalum wa kuuza,kununua na kusoma riwaya kwa njia ya simu iitwayo “UWARIDI APP” leo Jijini Dar es...
View ArticleALI KIBA KUTIMKA USIKU HUU KWENDA MAREKANI,KUPIGA SHOO TANO
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiSiku moja mara baada ya kuwasili nchini akiwa na tuzo ya MTV base msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba, ameondoka nchini kwenda Marekani kwa ajili ya maonyesho yake...
View ArticleWAZIRI MAGHEMBE AONGOZA TAMASHA LA KUMBUKIZI LA VITA VYA MAJIMAJI NA KUZINDUA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof.Jumanne Maghembe akiweka silaha ya jadi (rungu) kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa waliouawa kwa kunyongwa na wakoloni kwenye siku ya kilele cha Maadhimisho ya...
View ArticleDINNER PARTY YA ALLY KIBA ILIVYOFANA DOUBLE TREE HOTEL DAR ESS SALAAM
Ali Kiba akiwa anazungumza na wadau walifika katika hafla ya chakula cha jioni na wasani wenzie na Waandishi wa habari Msanii Omy Dimpoz, Billnas na Peti Man wakuache wakijadili jambo kwenye hafla ya...
View ArticleJUMUIA YA WAZAZI WATAKIWA KUUUNGA MKONO SERIKALI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA...
Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuia hiyo kutoka katika Kata mbalimbali za wilaya ya Ilala, alipokutana nao katika kikao...
View ArticleTRA NA WASHAURI WA KODI 100 WAJADILIANA SHERIA ZA KODI
Mkurugenzi wa Divisheni ya Mashauri ya Madai na Usuluhishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Obadia Kameya akifungua semina ya elimu ya sheria za kodi iliyofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu...
View ArticleJE UNAJUA MASHAHIDI WANAOTAKIWA UNAPOANDIKA WOSIA ?.
Na Bashir Yakub.1.MGAWANYO WA WOSIA.Wosia umegawanyika mara mbili . Upo wosia wa maandishi na upo wosia wa mdomo. Wosia hizi zote zinakubalika alimradi zimekidhi vigezo vya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KATIKA KANISA KATOLIKI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Ibada ya Jumatano ya Majivu pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Wiliam Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI MKUTANO WA TISA WA WADAU WA LAPF
Mfuko wa Pensheni wa LAPF unatarajia kufanya mkutano wa tisa wa wadau tarehe 9 na 10 Machi, 2017 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC Jijini Arusha. Mgeni rasmi katika mkutano huu anatarajiwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAZIRI WA AFYA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya...
View ArticleTAASISI YA MANJANO FOUNDATION WAHITIMISHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MKOA WA DAR...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Africa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Manjano Foundation Mama Shekha Nasser akieleza Matumizi Sahihi ya Vipodozi vya Luv Touch Manjano Kwenye Semina ya Ujasiriamali...
View ArticleOFISI YA MAKAMU WA RAIS YAONGOZA UENDESHAJI WA ZOEZI LA KUKAGUA VIWANDA...
Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Muyungi akimuhoji mmoja wa Wamiliki wa kiwanda cha Afro African Company kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam ambao ni wazalishaji na...
View ArticleHow Ngoma Africa Band has survived the storm to become one of the most...
It is not easy for an African band to survive for long in a European country. One of the few bands to survive the storm is Ngoma Africa Band, a Tanzanian band based in Germany.Ebrahim Makunja also...
View ArticleMAHAKAMA YAIONYA NHC
Na Humphrey Shao,Globu ya jamiiMahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imelitaka shirika la Nyumba nchini (NHC) kuheshimu amri ya mahakama na kuondoa notisi walizowapa wakazi wa Keko mpaka kesi ya msingi...
View ArticleMTOTO WA MAREHEMU JOHN KOMBA ATOA WIMBO KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA DAWA...
NA BASHIR NKOROMO.Ikiwa sasa ni takriban miaka miwili tangu aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT), Kampteni John Komba, kufariki Dunia, Mtoto wake Gerald John Komba, ameibuka na kutoa...
View ArticleNAPE NA MAVUNDE WAVIPA SHAVU VIKUNDI VYA JOGGING DODOMA
Na Raymond Mushumbusi .Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Ajira na Vijana Mhe. Anthony Mavunde wameamua kuchukua jukumu...
View Article