Profesa Mwandosya akagua upanuzi wa chanzo cha maji ruvu chini leo
Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akikagua mradi wa MCC wa upanuzi wa chanzo cha maji Ruvu chini. Picha ya chini anapata maelezo kutoka kwa Eng....
View ArticleMWANRI AZITAKA HALMASHAURI ZOTE NCHINI KUSIMAMIA VIZURI FEDHA ZA MIRADI YA...
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri akipima kwa tape maalum urefu wa moja ya barabara zilizojengwa na Manispaa ya Sumbawanga katika Mji huo kuhakikisha kama barabara hiyo imejengwa kwa vipimo...
View ArticleUZINDUZI WA MRADI WA "ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRICA" ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono Vijana waliopita mbele ya Jukwaa la Uwanja wa Amaan Studiuam,akipokea maandamano ya vijana katika sherehe...
View ArticleRESI ZA NGARAWA ZAFANYIKA ZANZIBAR IKIWA NI SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 49 YA...
Naibu Waziri wa Ardhi,Makazi,Maji na Nishati Haji Mwadini Makame akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza katika mshindano hayo Nahodha Fundi Abuubakar kutoka Bumbwini.Picha na Makame Mshenga-Maelezo...
View ArticleSuper Sunday Football
Join us for an exciting Super Sunday BPL Classic – Clash of the Titans!!!! It’s Manchester United vs Liverpool & Arsenal vs Manchester City both matches live on HD, Sunday @ East 24 Bar, Arcade...
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Enzi hizo wengi walicheza chacha kila mara ngoma ya Carlos Santana ya Black Magic Woman ilipopigwa
View Articlengoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Ngoma ya injili ya 'Kiatu Kivue' cha Bibie Annastazia Mukabwa akimshirikisha Rose Muhando si mchezo... Sikiliza ujumbe huo!
View Articleviwanja vinauzwa.
Viwanja vinauzwa,vimepimwa na vina hati,vipo eneo la Viwanda Mwanambaya Mkuranga barabarani na vimezingatia hifadhi ya barabara,vimepakana na kiwanda cha Cement,kiwanda cha Gypsum na Yad ya Scania...
View ArticleMdau wa Lindi ameremeta na Mai waifu wake
Mdau Shaban Leo wa Halmashauri ya wilaya ya Lindi akifurahia baada ya kufunga pingu za maisha na mai waifu wake Pendo Kuboga wa manispaa ya Lindi pia. Ndoa ilifungwa katika kanisa la Waadventista...
View ArticleMCHUNGAJI DANIEL NA HOYCE MBOWE WANAWAALIKA KWENYE IBADA YA PILI YA KISWAHILI...
Mchungaji Daniel na Hoyce Mbowe, wanapenda kuwakaribisha wote wanaoongea Kiswahili hapa Ujerumani na marafiki wengine katika ibada ya pili ya Kiswahili itakayofanyika Jumapili hii tarehe 13.01.2013...
View ArticleTASWIRA MBALI MBALI ZA MH. KANDEGE ALIPOPANDA MLIMA KILIMANJARO
Mbunge wa Jimbo la Kalambo,Mh. Josephat Kandege akiwa katika kilele cha Gilmans alipopanda Mlima Kilimanjaro mwishoni mwa mwaka jana,Mh Kandege ndiye mbunge pekee aliyefanikiwa kufika katika kilele...
View ArticleMH. AMOS MAKALLA AKABIDHI VIFAA MBALI MBALI JIMBONI KWAKE MVOMERO
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kati kati kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Kijiji cha Matale, Kata ya Mvomero akiwemo Muunguzi wa Zahanati ya Kijiji,...
View ArticleWateja 70 waibuka washindi kwenye droo kubwa ya Promosheni ya Patapata na...
Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania,Bw.Mrisho Millao akishuhudia Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Bw.Kelvin Twissa akiongea na mmoja wa washindi Bw.Fidel Ngowi mkazi wa sinza...
View ArticleRais wa Madagascar awasili kuhudhuria mkutano wa SADC-TROIKA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), (kushoto) akisalimiana na Mhe. Andry Rajoelina, Rais wa Madagascar mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa...
View Articleaongoza kikao cha Asasi ya Siasa,Ulinzi na Usalama cha SADC Rais Adry...
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa,Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo kusini Mwa Afika SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na na Rais wa Madagascar Andry Rajolina(kulia),Rais Wa Namibia...
View ArticleRATIBA ZA KAMATI ZA BUNGE JANUARI, 2013
Ofisi ya Bunge inapenda kuwataarifu Wanahabari wote kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza kukutana hapa jijini Dar es Salaam siku ya Jumatatu 14 Januari 2013, kabla ya Mkutano wa 10 wa...
View ArticleMATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA PILI, 2012
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI Mtihani wa Taifa wa Elimu ya Sekondari Kidato cha Pili ulifanyika nchini kote kuanzia tarehe 05/11/2012 na kumalizika tarehe...
View ArticleYALIYOJIRI WAKATI WA UZINDUZI WA DARAJA LA MBUTU, IGUNGA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa darala la Mbutu wilayani Igunga katika mkoa wa Tabora Januari 7, 2013. Kukamilika kwa ujenzi wa daraja hili mnamo Novemba mwaka huu...
View Article