WAPI HAPA wadau?
Katika pitapita zake kamera ya Globu ya Jamii ilifika mahali hapa katikati ya jiji la Dar es salaam na kukuta mambo mswano. Yaani barabara imetengenezwa na kugeuza kabisa sura ya sehemu hii kwa...
View ArticleTAIFA STARS yalala 2-1 kwa ETHIOPIA leo
Na mwandishi wetu, Addis AbabaTanzania (Taifa Stars) imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ethiopia uliochezwa leo (Januari 11, 2013) kwenye Uwanja wa Addis Ababa hapa jijini Addis Ababa,...
View Articleswali la kizushi...
Salaam Ankal Michuzi na Wadau wote,Nimeona mara kadhaa anapotangulia mtu yeyote mbele za haki alimradi ni mtu mashuhuri basi mwili wake hubebwa na GARI LA WAGONJWA. Sasa kinachonisumbua ni kwanini...
View ArticleTaarifa ya Mazishi
Kwa niaba ya Ndugu,jamaa na marafiki wa Marehemu Herman Minja wa jijini Arusha,Tunatangaza ratiba ya mazishi ya ndugu yetu Mpenda Marehemu HERMAN MINJA aliefariki ghafla nyumbani kwake jijini Arusha...
View ArticleTHE PUBLIC SEMINAR ON THE ROLE OF ENTREPRENEURSHIP, INNOVATION AND ICUBATION...
The Commission for Science and Technology (COSTECH), is hosting a Public Seminar titled, “The role of entrepreneurship & innovation for development” to be held on the 11th January, 2013. This...
View ArticleGREATEST BONGO FLAVOUR ARTISTS FROM TANZANIA ON SPORAH SHOW
Sporah pins Barnaba, Tunda Man and Suma Lee on the Hot Corner of her famous Sporah Show. To see and read more about it just CLICK HERE
View ArticleIGP MWEMA AKABIDHI PIKIPIKI 564 KWA MAKAMANDA WA POLISI NCHI NZIMA
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Said Mwema akimkabidhi pikipiki Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi Suleiman Kova kama ishara ya kukabidhiwa Makamanda wote...
View ArticleMtoto wa Kike anaejishughulisha na Usafishaji wa Vioo vya Magari ya Watu...
Kamera ya Globu ya Jamii,imemnasa Binti huyu ambaye jina lake halikufahamika mara moja katika Maeneo ya Kamata Kariakoo akijitafutia riziki yake kwa kujishughulisha na usafishaji wa Vioo vya Magari ya...
View Articlengoma azipendazo ankal - kizazi kipya
Bibie Nyota Ndogo na ngoma ya 'Watu na Viatu' anaweza kumtoa nyoka pangoni
View Articlengoma azipendazo ankal - enzi hizo
Ngoma ya Bee Gees ya Stayin' Alive iliturusha sana enzi hizo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MAPINDUZI ZANZIBAR...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride wakati wa Sherehe za Mapinduzi, zilizofanyika leo kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar. Picha na OMR....
View ArticleKILELE CHA SHEREHE za maadhimisho YA MIAKA 49 YA MAPINDUZI ya zanzibar yafana...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikagua gwaride la Vikosi vya ulinzi katika kilele cha sherehe za kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,...
View ArticleU.S. Ambassador to the United Nations Food and Agriculture Agencies in Rome...
U.S. Ambassador to the United Nations Food and Agriculture Agencies in Rome David J. Lane (second from left) elaborating a point during a press conference held in Dar es Salaam on January 12, 2013....
View ArticleJust In: Ajali mbaya yatokea Posta Mpya jijini Dar jioni hiii,Mwanajeshi...
Baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakimshusha mwenzao baada ya kujigonga kwenye mti na kujeruhiwa vibaya sana kwa kupasuka kichwa wakati akiwa kwenye Lori lenye namba za usajili 5514...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA
FAMILY YA SAMEJI YA TANGA NA DAR-ES-SALAAM KWA MASIKITIKO MAKUBWA TUNATANGAZA KIFO CHA NDUGU YETU MPENDWA ALICE SAMEJI ALIYEFARIKI 11/01/2013 HUKO TANGA MUNGU AYIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA...
View ArticleArticle 7
Habari WaungwanaNatumaini u na afya njema hasa katika kusherekea Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,Pamoja na hivyo bado tuna jukumu kubwa katika kuikomboa Jamii yetu ambayo ipo katika Mazingira Magumu...
View Article