Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 116894 articles
Browse latest View live

ngoma azipendazo ankal - enzi hizo

Ngoma ya Marvin Gaye ya 'Lets Get It On' ilikamata si kidogo enzi zetu

View Article


ngoma azipendazo ankal - kizazi kipya

Ngoma ya 'Anita' ya Matonya akimshirikisha Lady Jay Dee si haba ati!

View Article


ngoma azipendazo ankal - kizazi kipya

Ngoma ya 'Makumbele' ya Maquis Du Zaire wa mpiga solo mkali Vumbi Kahanga Dekula hautochuja kwa karne 10 zijazo. Sikiliza nyuzi bin nyuzi hizo za ngoma hii iliyokarabatiwa upya na Vumbi

View Article

safari ya mdau jijini Dar kwa bajaji

Ankal, Taswira -video Jijini Dar es salaam ya safari kwa kutumia bajaji toka Kawe, Drive-In, Morocco, Namanga, Salender, Seaview, Red- Cross, Ohio, Garden mpaka Posta.Mdau Mesiaki

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONDIA Mtanzania Thomas Mashali ALIVYOMGALAGAZA Bernad Mackoliech WA KENYA

Bondia Mtanzania Thomas Mashali kushoto akiwa amemgalagaza bondia Bernad Mackoliech na kwenda chini akimsubili ili amwendelezee kipondo wakati wa mchezo wao wa kugombania ubingwa wa Afrika Mashariki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK afungua shule Sekondari Mlimani-Matemwe, Unguja

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia vitabu vya masomo katika maktaba ya shule mpya ya Sekondari ya Mlimani Matemwe muda mfupi baada ya kuifungua rasmi jana.Kulia ni Ofisa mwandamizi kutoka ofisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

4th ATC GRADUATION ANNOUNCEMENT

Arusha Technical College is pleased to inform all Candidates who completed their studies in the academic year 2011/12 that the 4thATC Graduation ceremony will be held on Saturday 19th  January 2012 at...

View Article

VIJANA CHANGAMKIENI FURSA HIZI KUPITIA HAPA

NINGEPENDA KUWATANGAZIA VIJANA WENZANGU NA WATANZANIA KWA UJUMLA.  KWA WALE AMBAO MWAKA JANA WALIKUWA WANALALAMIKA SANA PAMOJA NA KUNUNGUNIKA  KUWA HAWAPATI FURSA AU HAWASIKII FURSA MBALIMBALI.NIMEAMUA...

View Article


wadau wakijirusha ughaibuni

Video kwa hisani ya Vijimambo TV

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JERRY SILAA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA UVCCM NA KUHUTUBIA MAMIA YA WAKAZI...

Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akipigiwa saluti na Green Guard baada ya kuwasili.Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akisalimiana na wajumbe wa UVCCM mkoa wa Mbeya na pembeni yake ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

mnuso wa sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Watanzania waishio Kharkov,...

  wadau WaTanzania waliopo Ukraine katika  sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyoandaliwa na Wanazuoni wakiTanzania waishio Kharkov, Ukraine.  Wadao hao hivi sasa wapo katika kusaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEPTIN - KAHAWA NA CHAI ZIPUNGUZAZO UZITO

KUTANA NA CHAI NA KAHAWA AMBAYO UKINYWA INAKUSAIDIA KUPUNGUZA MAFUTA NA KUPUNGUZA HAMU YA KULAKULA OVYO NA KUKUFANYA UONDOKANE NA NYAMA ZEMBELEPTIN NI NINI?!!Ni hormone ambayo ndiyo yenye kazi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI YUSUPH MWENDA AZINDUA UJENZI WA DARAJA LA...

Mhandisi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Gerald Urio (wa pili kushoto) akitoa maelezo ya Ujenzi wa Daraja kwa Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

kwa usafi huu mbona Bongo Tambarareeeee.....!!

Katika pita pita za Kamera man wa Globu ya Jamii,alikatika maeneo ya Katikati ya Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam na kumnasa jamaa akijitahidi kukausha maji yaliyokuwa yametuama katika kidimbwi...

View Article

MKONGWE LOKASSA YA MBONGO ALONGA NA VIJIMAMBO # 2

 Leo Jumatatu January 14, 2013 tunawaletea sehemu ya pili ya gwiji la ukung'utaji wa kitaa la kati kutoka DRC, Lokassa ya Mbongo Jina alilopewa naTabu Ley Rochereau wakati akiwa na miaka 16, kaika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

The ProBusiness Institute

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hoja ya Mdau kuhusu ulipishaji wa Maegesho ya Magari katika Uwanja wa Ndege...

Salamaleko Ankal Michuzi na Timu nzima ya Globu ya Jamii.Ama baada ya salamu,naomba unipandishie kwenye Globu ya Jamii hoja yangu hii kuhusiana na utaratibu wa ulipiaji wa maegesho ya magari katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Flightlink introduces Cessna Citation 560 to its fleet for Medevac and...

Flightlink is a Scheduled and Corporate Air Charter Operator with bases in Dar Es Salaam and Arusha.The Company is made up of Experienced and talented general aviation professionals and providing...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

introducing hisaje park, kiota kipya cha maraha Boko Dovya jijini Dar es salaam

 Hapana hapa sio migombani (Mosh) bali ni sehemu ya kiota kipya cha maraha kilichopo Boko Dovya nje kidogo ya jiji la Dar es salaam barabara ya Bagamoyo road njia panda ya Mbweni, mkono wa kushoto...

View Article

ngoma azipendazo ankal - enzi hizo

Mwanamuziki machachari Boy George na bendi yake ya Culture Club walikuwa juu na ngoma yao ya 'Karma Chameleon'

View Article
Browsing all 116894 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>