Habari Waungwana
Natumaini u na afya njema hasa katika kusherekea Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar,Pamoja na hivyo bado tuna jukumu kubwa katika kuikomboa Jamii yetu ambayo ipo katika Mazingira Magumu hasa katika upatikanaji wa habari lakini pia kutoibua Changamoto zilizopo katika Jamii huska.
Kwa kutambua umuhimu wa Jamii yetu, JAMII INFORMATION NETWORK (JIN) ni Asasi ambayo imeamua kusogelea Jamii katika kuibua Changamoto mbalimbali na Kuipasha Jamii hska habari. Tunapenda kuitumia blog hii kuitangaza Blog ya Asasi ya Jamii Information Network ambayo itakuwa ikielezea mambo mbalimbali yanayofanywa na Asasi hiyo
Tembelea blog hii kila Mara www.jamiiinformation. blogspot.com