Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akikagua mradi wa MCC wa upanuzi wa chanzo cha maji Ruvu chini. Picha ya chini anapata maelezo kutoka kwa Eng. Kasiga wa DAWAS.Mradi huo wa Mellinium Challenge Corporation kutoka Marekani utagharimu milioni 36 9 dola za kimarekani.
↧