Basi la Bunda express lapata ajali leo
Mapema leo asubuhi katika eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge Basi la abiria la 'Bunda express" lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea jijini Mwanza lilipata ajali mbaya sana...
View ArticleWaziri Membe apokea Nakala ya Hati za Utambulisho za Balozi wa Msumbiji nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe-Mb., akipokea Nakala ya Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Msumbiji hapa nchini Mhe.Vicente M. Veloso. Hafla hiyo...
View ArticleSAMSUNG YACHEZESHA DRAW YA MSIMU WA SIKUKUU LEO JIJINI DAR
Meneja Usambazaji wa Samsung Mobile Tanzania, Sylvester Manyara(kushoto),Msimamizi wa Bahati na sibu Tanzania, Abdalah Hemed na Mkufunzi wa Samsung Tanzania, Joel Laizar wakionyesha zawadi za washindi...
View ArticleNyota wa Seattle Sounders FC kuendesha semina ya soka nchini
Na Mwandishi wetu WAWAKILISHI wawili wa klabu ya Seattle Sounders ya Marekani wataendesha semina kwa wadau wa michezo hapa nchini katika ziara yao ya siku tisa kuanzia leo.Wawakilishi hao ni beki wa...
View ArticleRegia Mtema Day kufanyika januari 14,2012 Peacock Hotel jijini Dar
Siku ya Jumatatu; tarehe 14 January 2013 ni siku ambayo Regia Mtema Foundation imeitenga maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya Regia Mtema. Katika siku hii maalumu wote mnakaribishwa Peacock Hotel ambako...
View ArticleJK akutana na wanachama wa UVCCM wa vyuo vikuu Tabora
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanachama wa UVCCM wa vyuo vikuu mkoani Tabora waliomtembelea Ikulu ndogo mkoani humo usiku wa kuamkia leo. Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete aliwataka vijana...
View ArticleTAMWA WAWASILISHA MAONI TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Bi. Valerie Msoka akikabidhi maoni ya chama hicho kuhusu Katiba Mpya kwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof....
View ArticleJK aongoza kikao cha Asasi ya Siasa ulinzi na usalama ya SADC jijini Dar es...
Mwenyekiti wa asasi  ya siasa ya Ulinzi na Usalama ya nchi za Jumuiya ya maendeleo ya nchi kusini mwa Afrika (SADC) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine ambao...
View ArticleWEMA SEPETU NA WENZAKE WANOGESHA UZINDUZI WA KAMPENI YA KILIMO KWANZA...
 Diwani Omary Kariati wa Kata ya Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma, akizungumza na wananchi wa Kata hiyo, baada ya kuwashili katika kata hiyo jana kuzindua Kampeni ya Kilimokwanza kwa Vijana wa Kata hiyo....
View ArticleMarais wa SADC-TROIKA wawasili nchini leo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (kushoto) akisalimiana na Mhe. Armando Emillio Guebuza, Rais wa Msumbiji mara baada ya Rais huyo kuwasili katika Uwanja...
View ArticleWAFUGAJI WATOA MAONI YAO TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
Mmoja wa Wawakilishi wa Kundi la Wafugaji waliokutana na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Alhamisi, Jan. 10, 2013) Bi. Lilian Looloitai akitoa maoni kuhusu Katiba Mpya katika ofisi za Tume, jijini Dar...
View ArticleDStv YAWATOA HOFU WATEJA WAKE KUHUSIANA DIGITALI
Meneja Mahusiano wa Multichoice Tanzania Barbara Kambogi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi wa MultiChoice Africa kwa ukanda wa Afrika Mashariki Stephen Isaboke ambapo...
View ArticleHIS WORSHIP JERRY SILAA VISITS GONGO LA MBOTO
Mayor of Ilala Municipal Council who also is The Councilor for the Gongo La Mboto Ward His worship Jerry Silaa visited various projects in his ward amongst them being in mtaa wa Gulukakwalala whereby...
View ArticleWAHARIRI NA BARAZA LA HABARI WATEMBELEA VITENGO VYA TUME
Wahariri - Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Hanifa Masaninga akitoa ufafanuzi kuhusu uandaaji wa maoni ya wananchi na kuwa Kitengo cha Taarifa Rasmi (Hansard) kwa ujumbe wa...
View Article