Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa,Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo kusini Mwa Afika SADC Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na na Rais wa Madagascar Andry Rajolina(kulia),Rais Wa Namibia Hifikepunye Pohamba(kushoto) na Rais wa Msumbiji Armando Guebuza Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi wakati wa kikao cha Kamati hicho leo. Picha na Freddy Maro wa Ikulu
↧