Mtandao wa mawasiliano wa seacom wapata kwikwi, wadau wahaha afrika mashariki
Kwa siku nzima ya leo, mawasiliano ya mtandao katika nchi za Afrika Mashariki yamepatwa na kwikwi kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni matatizo ya kiufundi yaliyoikumba mitambo ya kampuni ya Seacom,...
View ArticleNovelist Chinua Achebe dies, aged 82
Chinua Achebe: 'grandfather of African fiction'.Chinua Achebe, the Nigerian novelist seen by millions as the father of African literature, has died at the age of 82.African papers were reporting his...
View ArticleMAPATO YA TAMASHA KUJENGA KITUO CHA YATIMA DAR
Mwenyekiti wa Maandalizi ya Tamasha la Pasaka Alex Msama akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo kuhusu maandalizi ya tamasha hilo lenye kauli mbiu ya Amani...
View ArticleJAMBO LEO, BTL MABINGWA NSSF MEDIA CUP 2013
Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amosi Makala akimkabidhi kombe la Ubingwa wa michuano ya NSSF Media Cup 2013 kwa naodha wa timu ya Jambo Leo, Said Mwishehe katika baada ya...
View ArticleMakandarasi waliofutiwa usajili watakiwa kurejesha vyeti, kutofanya kazi
Na Ripota Wetu , Dar es SalaamBodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) imesisitiza kuwa wakandarsi 1110 waliofutiwa usajili hivi karibuni waharuhusiwi kufanya kazi yoyote hapa nchini kwa vile kuendelea...
View ArticleWFP, IFAD NA FAO ZAAHIDI USHIRIKIANO NA TANZANIA
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amekutana na wakuu wa taasisi za kimataifa za WFP, IFAD na FAO na kufanya nao mazungumzo kuhusu namna ya kuendeleza kilimo nchini Tanzania. Waziri Mkuu amekutana na viongozi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA SERIKALI YA UINGEREZA NA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Serikali ya Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mark Simmonds (kulia...
View ArticleRas Inno kutambulisha rasmi bendi yake
MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya reggae hapa nchini, Ras Inno Nganyagwa,anatarajia kuitambulisha rasmi bendi yake katika onesho mahsusi linalotarajiwa kufanyika katikati ya mwezi ujao jijini Dar es...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI MZEE KINGUNGE NYUMBANI KWAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipofika kumjulia hali nyumbani kwake Victoria jijini Dar es Salaam...
View ArticleWAKAZI WA ARUSHA KULIPIA ANKARA ZA MAJI SAFI NA MAJI TAKA KUPITIA M-PESA SASA
Mkuu wa Wilaya ya jiji la arusha, John Mongella,akiongea wakati wa uzinduzi rasmi wa jinsi ya kulipia Ankara ya maji safi kupitia huduma ya M-PESA,kwa wakazi wa mkoa wa jiji la Arusha,kutoka kushoto ni...
View ArticleNancy Sumari: Nililipwa Mshahara wa 120,000 Kwa Mwezi
Katika kipindi cha Makutano kinachoendeshwa na Fina Mango wiki hii alifanya mahojiano na Miss Tanzania na Miss World Africa 2005, Nancy Sumari kuhusu mambo mbalimbali yanayomhusu katika maisha ya kabla...
View Articlehoja ya haja........
Kaka Michuzi Salaam Aleuikum,Baada ya salaam, napenda kulizungmzia ili swala au kero linalowasumbua watanzania wengi. Kwa kweli, kwenda kupumzika au kula Sea-Cleaf ni tatizo ambalo uongozi wa jiji au...
View ArticleTaifa Stars yaihadhilisha Morocco leo Uwanja wa Taifa,Yaitungua Bao 3-1
Ubao wa Matokeo unavyosomeka mara baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Timu ya Taifa ya Morocco uliochezwa jioni hii kwenye uwanja wa Taifa wa Jijini...
View ArticlePLOT FOR SALE IN ZANZIBAR
A huge lovely Beach plot with newly built VILLA cottage in MARUMBA/ UROA ZANZIBAR for sale Plot Number 211 Measuaring 5091,40 square meters...
View Articlengoma azipendazo ankal
Gloria Esteffan na miami sound machine walitisha na ngoma yao ya 'dr beat'
View ArticleStanbic Bank Tanzania encourages women to use land as collateral
Stanbic Bank Tanzania Home Loan Manager Miranda Lutege, makes a presentation on how bankers avail opportunities to women to use land as collateral investment through Mortgage, during 2013 Annual...
View ArticleDC ILALA AWAFUNDA VIJANA KUHUSU UJASIRIAMALI
Baadhi ya Vijana waliopata mafunzo ya jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala wakionyesha jinsi ya kutengeneza mkaa huo wakati wa ufungaji wa Mafunzo ya Ujasiriliamali kwa vikundi vya Vijana kutoka Kata za...
View Article