NAFASI ZA KAZI PPF: MUDA WA MAOMBI WASOGEZWA MBELE
BOFYA HAPA KUTEMBELEA MTANDAO WA MAOBI HAYO YA KAZI
View ArticleYANGA YAMWAGIWA MABILIONI YA UDHAMINI NA SPORTPESA LEO
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya Nchini Kenya SportPesa imeimgia mkataba na klabu ya Yanga wa udhamini wa miaka mitano ukiwa na thamani ya takribani bilioni...
View ArticleWAZIRI MHAGAMA KUFUNGUA MKUTANO WA BODI ZA MIFUKO YA HIFADHI JUU YA UCHUMI WA...
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZAWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Walemavu Jenister Mhagama, anatarajiwa kufungua mkutano wa Bodi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania.Mkutano huo...
View ArticleKUNDI LA WASANII 7 MAARUFU KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WAWASILI NCHINI...
Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwakaribisha Wasnaii hao katika Hotel ya Ramada Incore jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akikabidhi...
View ArticleSerikali Yakusudia Kujenga Magereza Maeneo ya Kilimo
Na Nuru Juma-MAELEZOSerikali inamkakati wa kuhakikisha inajenga Magereza katika maeneo yenye uzalishaji mkubwa wa kilimo ambayo pia yana ukubwa wa kutosha ili kazi ya kuwarekebisha wafungwa iwe rahisi...
View ArticleLAKE CEMENT YACHANGIA DAMU KATIKA KUOKOA MAISHA WAHITAJI DAMU
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.Uchangiaji wa damu salama unahitajika kutokana na kuwa na wahitaji wengi ambao wanatakiwa kuwekewa katika kuokoa maisha yao.Hayo ameyasema Afisa Uhamasishaji wa Mpango...
View ArticleWADAU WAIPONGEZA SERIKALI KWA UAMUZI WA KUIVUNJA MAMLAKA YA USTAWISHAJI WA...
Na: Frank Shija – MAELEZO WADAU mbalimbali wameipongeza Serikali kwa uamuzi wa kuivunja Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu Dodoma (CDA) iliyofikiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Wakitoa maoni...
View ArticleSERIKALI: AWAMU YA 3 YA REA KUVIFIKIA VIJIJI, VITONGOJI NA MAENEO YA...
Na Nuru Juma,MAELEZO,DAR ES SALAAM SERIKALI kupitia mradi wa awamu ya 3 ya usambazaji wa umeme vijijini (REA) imekusudia kusambaza umeme katika vijiji, vitongoji vyote, taasisi za umma na maeneo ya...
View ArticleMTAMBO WA KUHAKIKI HUDUMA ZA MAWASILIANO WASABABISHA SERIKALI KUKUSANYA...
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) imekusanya shilingi bilioni 63,015,450,230 kwa kipindi cha Octoba 2013 mpaka Februari 2017 tangu kuanzishwa kwa mtambo wa kuhakiki na kusimamia...
View ArticleMaandalizi ya Mkutano wa 34 wa Dharula wa Baraza la Mawaziri la Afrika...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Aziz P. Mlima akizungumza kwenye kikao cha Wataalamu ngazi ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika...
View ArticlePRODUCER WA DIAMOND AOMBA MSAADA WA SERIKALI KWA WATAYARISHAJI WA MUZIKI
Mtayarishaji wa muziki nchini, Sheddy Clever ameitaka serikali iweke sheria na viwango vya kudhibiti watayarishaji wa muziki feki ambao ni chanzo cha kusababisha nyimbo kutodumu mda mrefu katika...
View ArticleUBALOZI WA MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAMASHA LA KIMATAIFA LA FILAMU LA...
Ubalozi wa Marekani imeingia rasmi katika ubia na Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar kwa kusaini Hati ya Makubaliano (MOU) ya kuwa na programu ya mabadilishano ya kitamaduni ya wiki moja...
View ArticleRIP Dogo Mfaume - Kazi Ya Dukani
Msanii Dogo Mfaume amefariki dunia katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa anapata matibabu kwa kusumbuliwa na uvimbe kichwani. Kibao hiki cha "KAZI YANGU YA DUKANI" kilimpatia tuzo ya mwaka...
View ArticleNAIBU SPIKA AJIONEA KAZI ZA TAASISI YA UHANDISI NA USANIFU MITAMBO TANZANIA...
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) akimsikiliza Afisa kutoka Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) akizungumza jambowakati wa Maonyesho ya baadhi ya...
View ArticleMARIA SHARAPOVA AEUNGULIWA FRENCH OPEN
Mchezaji nyota wa Mchezo wa Tenisi wa nchini Urusi, Maria Sharapova, amenyimwa kadi maalumu ya kuingia kwenye mashindano ya wazi ya Ufaransa maarufu kama ‘French Open’ yanayotarajiwa kuanza katikati ya...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela akagua mitambo ya kiwanda cha...
RC Shigela alipotembelea Kampuni inayojenga mradi mkubwa wa kiwanda cha Saruji Tanga. Kiwanda hicho muhimu kwa uchumi wa Tanzania kitazalisha zaidi ya Tani milioni 7 za Saruji kwa Mwaka.Alionana na...
View ArticleMkutano Mkuu Wa Umoja wa Watanzania Ujerumani 2017 watingisha Essen
Umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V watingisha jiji la Essen nchini Ujerumani baada ya kufanya mkutano mkuu kwa mujibu wa katiba ulioandamana na sherehe za ushindi wa viongozi wapya. Hapo jijini...
View Article