Waziri wa Fedha na Mipango akutana na viongozi waandamizi wa IMF na balozi wa...
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) anaeziwakilisha nchi 23 za Afrika, Bw. Maxwell Mkwezalamba (...
View ArticleYara Tanzania Ltd yajikita kuwapiga msasa wataalamu wake ili kusaidia...
Afisa mwandamizi wa kilimo wa Burka Coffee Estates mkoani Arusha Bw. James Odhiambo (wa pili kushoto) akielezea jambo kwa mkurungezi wa kampuni ya Yara Tanzania Bw. Alexandre Macedo (kulia)...
View ArticleMKURUGENZI MTENDAJI WA IMF ASISITIZA UMUHIMU WA KILIMO NA NISHATI KATIKA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) anaeziwakilisha nchi 23 za Afrika, Bw. Maxwell Mkwezalamba (wa pili kulia) akieleza kuwa Tanzania inakua kwa kasi kiuchumi jambo ambalo...
View ArticleSHIRIKA LA FEDHA DUNIANI-IMF LAAHIDI KUIKOPESHA ZAIDI TANZANIA ILI KUKUZA UCHUMI
Na Benny Mwaipaja, WFMNaibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Tao Zhang (kushoto) ameahidi kufungua madirisha ya mikopo kwa nchi ya Tanzania kutokana na jitihada kubwa...
View ArticleKiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Bwana Amour Hamad Amour akagua miradi ya...
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Bwana Amour Hamad Amour aliyepiga magoti akiangalia Tanki la maji na uwepo wa maji katika Tanki hilo ambapo alilidhishwa na uwepo wa maji katika kijiji cha...
View ArticleWAZIRI MHAGAMA KUFUNGUA MKUTANO WA BODI ZA MIFUKO YA HIFADHI
Mh. Jenister MhagamaNA BALTAZAR MASHAKA.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Walemavu Jenister Mhagama, anatarajiwa kufungua mkutano wa Bodi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania...
View ArticleHalmashauri kunufaika na Tsh 250 bilioni za mradi wa maji vijijini
Halmashauri za wilaya zimetakiwa kuongeza ufanisi katika kusimamia miradi ya maji kwa kuchangamkia fursa ya fedha za kitanzania bilioni 250 zilizotolewa na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la...
View ArticleZanzibar haibaguliwi katika EAC
Serikali ya Zanzibar inashiriki moja kwa moja bila ukomo katika masuala yote ya Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), hivyo Wazanzibari wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizopo kwenye Jumuiya...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU CCM BARA, RODRICK MPOGOLO ZIARANI JIMBO LA ILALA, TEMEKE.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akizungumza na Wanachama, Viongozi wa CCM wa Jimbo la Ilala wakati akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Mkoa wa Dar es Salaam, jana. Baadhi ya...
View ArticleHuduma ya Zahati ya mimea sasa yatolewa BURE na Yara Tanzania Ltd
Mamia ya wakulima wanamiminika kwenye duka dogo la pembejeo lilipo Mafinga mkoani Iringa kupeleka mazao yao kwa ajili ya kupata utatuzi. Bwana shamba wa kampuni ya Yara Tanzania Ltd Bw. Andrew...
View ArticleMAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UTAMADUNI KUADHIMISHA SIKU YA MAKUMBUSHO DUNIANI.
Bw Achiles Bufure, Mkurugenzi Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es salaam Tarehe 18 May ni siku ya Makumbusho Duniani kwa apata Tanzania, Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni itaungana na Makumbusho...
View Articleintroducing New Song, New Group from P-Funk Majani's Bongo Records Bongolos...
Bongolos ni kundi la wanamuziki wawili, Drew (Kiume) na Tamu (Kike), lenye makazi yake jijini Dar es Salaam, Tanzania. Bongolos ni kundi lililoundwa na mtayarishaji mkongwe wa muziki Afrika Mashariki...
View ArticleMAREKANI KUENDELEA KUSAIDIA WATU WA TANZANIA KUKABILIANA NA VVU/UKIMWI
Serikali ya Marekani kupitia Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR), umeidhinisha mpango wa kutoa Dola za Kimarekani Milioni 526 katika kipindi cha mwaka mmoja ujao kwa...
View ArticleKINANA AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA UKOMBOZI WA KUSINI MWA...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Abdrahamani Kinana yuko nchini Angola akiongoza ujumbe wa CCM katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Vyama vya ukombozi wa kusini mwa Afrika( Front Line State...
View ArticleMaelfu ya akina mama waendelea kunufaika na huduma ya wazazi nipendeni
Maelfu ya akina mama wanaendelea kunufaika na huduma ya ujumbe mfupi wa maandishi unaotolewa bure na Vodacom Tanzania Foundation wa ‘Wazazi Nipendeni’, unazidi kuendelea kuwanufaisha maelfu ya akina...
View ArticleMHE. SYLVESTER MABUMBA BALOZI WA TANZANIA NDANI YA MUUNGANO WA VISIWA VYA...
Balozi wa Tanzania ndani ya Muungano wa Visiwa vya Komoro, Mhe. Sylvester M. Mabumba tarehe 15 Mei alikabidhi hati zake za uwakilishi kwenda kwa Mhe. Azali Assoumani, Rais wa Muungano wa Visiwa vya...
View ArticleMWALIMU COMMERCIAL BANK PLC (MCB), YAZINDUA KAMPENI YA WEKA AKIBA NA USHINDE,...
MWALIMU Commercial Bank PLC imezindua kampeni ya “Weka Akiba na Ushinde” kwa Wateja wake na wananchi kwa ujumla.Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Mei 18, 2017...
View Article