Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 117350

NAIBU SPIKA AJIONEA KAZI ZA TAASISI YA UHANDISI NA USANIFU MITAMBO TANZANIA (TEMDO)

$
0
0
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) akimsikiliza Afisa kutoka Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) akizungumza jambowakati wa Maonyesho ya baadhi ya Mitambo yao, katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. wa pili kulia, ni Waziri wa Viwanda, Biashara  na Uwekezaji, Mheshimiwa Charles Mwijage. PICHA NA OFISI YA BUNGE.    

Viewing all articles
Browse latest Browse all 117350

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>