Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwakaribisha Wasnaii hao katika Hotel ya Ramada Incore jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akikabidhi zwadi ya Tisheti kwa wageni hao ambao wamekuja kutalii nchini
Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwa katika picha ya pamoja na wasnii kutoka nchini china
Wasanii Maharu saba kutoka nchini China ,Lu Yi, Du Haitao,Yao Di,Tian Liang,Yin Zheng,Mai Dina na Hao Shaowen wakicheza ngoma kwa pamoja na kikundi cha Sanaa za utamaduni hapa nchini cha Wanne Star
--
Wasanii Maharu saba kutoka nchini China ,Lu Yi, Du Haitao,Yao Di,Tian Liang,Yin Zheng,Mai Dina na Hao Shaowen, wakishuka kwenye gari ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa Jijini Dar es Salaam wakitokea nchini China kwa ajili ya kutembelea mbuga za Wanyama hapa nchini na Vivutio vya kitalii.