CCM ZANZIBAR YAAHIDI KUENZI USHIRIKIANO NA CHAMA CHA CPC CHA CHINA
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Saadala akizungumza na Balozi mdogo wa China Zanzibar Bw. Xie Xiaowu juu ya masuala mbali mbali ya kimaendeleo huko  Afisi Kuu Zanzibar. Balozi...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi akisoma hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake katika kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11...
View ArticleTIB CORPORATE BANK LIMITED YAINGIA UBIA NA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)
Benki ya TIB Corporate imeingia ubia na TRA kwa kuunganisha mifumo yao ya malipo ili kuwezesha kulipa kodi kwa urahisi.TAXBANK Ni mfumo wa kisasa wa ukusanyaji wa kodi ambao umerahisisha ulipaji wa...
View ArticleBENKI YA CBA YAZINDUA HUDUMA MPYA YA KUWAFATA WATEJA WAKE WALIPO
Mkurugenzi wa Bank ya biashara Africa CBA Gift Shoko akizungumza hivi karibuni jijini Arusha katika hafla ya uzinduzi wa  huduma ya kuwahudumia wateja kibinafsi (private banking) kwa kuwafuata wateja...
View ArticleWakurugenzi wajadili upatikanaji wa maji Morogoro
Usimamizi usiofaa wa miradi mbalimbali ya maji nchini umeelezwa kuwa ni kikwazo kwa juhudi za kuwezesha upatikanaji wa maji kwa kila familia.Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Maji na...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU CCM BARA ZIARANI JIMBO LA TEMEKE, ASEMA HANUNULIWI KWA 'JERO'
Na Ripota wa Mafoto Blog, Dar NAIBU Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rodrick Mpogolo,amesema hakuna mtu anayeweza kukinunua Chama Cha Mapinduzi, kwa kuwa ni Chama kikubwa kilichoanzishwa na waasisi...
View ArticleWatumishi wa umma kuweni karibu na wananchi, Balozi Mwinyi
Taasisi za Serikali zimehimizwa ziwe karibu na wananchi ili ziweze kuwahudumia na kuwaelimisha juu ya huduma inazozitoa. Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika mara kwa mara kuhusu watumishi wa umma...
View ArticleTIBA MTANDAO KUANZIA OLOLOSOKWAN OKTOBA MWAKA HUU
WATU waliopembezoni ambao wamekuwa na shida kubwa ya kupata madaktari bingwa, wataanza kupata nafuu baada ya kuanza kwa mradi wa tiba mtandao unaoendeshwa kwa pamoja kati ya Chuo Kikuu cha Afya na...
View ArticleSERIKALI YASISITIZA KUKAMATWA KWA ALIYEMJERUHI MTOTO KWA KOSA LA KUDOKOA CHAKULA
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imelaani vikali kitendo cha mtoto wa miaka mitatu (jina limehifadhiwa), mkazi wa kata ya Rudete mkoani Geita, aliyeelezwa kwamba amejeruhiwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI...
Polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,wakimsikiliza Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo ya siku...
View ArticleAtupwa jela miaka ishirini kwa kukutwa na mafuta ya Simba.
Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Said Rajabu Said (36), kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na mafuta ya Simba.Hukumu hiyo...
View Article