MHE SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA OFISINI KWAKE JIJINI...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M. Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge). Spika...
View ArticleMICHUZI TV: CRDB BANK KUFANYA MKUTANO WAKE MKUU MEI 20, JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kunduchi Beach, Jijini Dar es salaam leo, juu ya kuwepo kwa...
View ArticleUKWELI KUHUSU MTI ULIOGOMA KUNG'OLEWA JIJINI MWANZA
George Binagi-GB Pazzo @BMG.Wakazi wa Jiji la Mwanza wameingia katika taharuki baada ya kutokea uvumi wa taarifa za mti kugoma kung’olewa katika eneo la Pasiansi ambapo kuna shughuli ya upanuzi wa...
View ArticleNMB YAWEZESHA KUFANYIKA KWA MASHINDANO YA MICHEZO ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akimshukuru Kaimu Afisa Mkuu wa wateja wadogo na wakati wa Benki ya NMB, Abdulmagid Nsekela kwa niba ya NMB kwa udhamini walioutoa ili kufanikisha...
View ArticlePROF. MUHONGO AKATAA KUSAINI LESENI
Na Veronica Simba – Dodoma.Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekataa kusaini ombi la uhamishaji wa leseni ya uchimbaji wa kati wa madini ya Shaba Namba ML 571/2017 kutoka kwa...
View ArticleBENKI YA CBA YAZINDUA HUDUMA MPYA YA KUWAFUATA WATEJA WAKE WALIPO
Bank ya biashara Africa CBA imeanzisha huduma ya kuwahudumia wateja kibinafsi (private banking) kwa kuwafuata wateja wake walipo tofauti na mfumo uliozoeleka wa wateja kufuata bank.Akizungumza wakati...
View ArticleMAMLAKA YA USIMAMIZI WA BIMA (TIRA)IMEZINDUA MFUMO WA KUHAKIKI BIMA KWA NJIA...
Na.Vero Igantus.ArushaMamlaka ya usimamizi wa Bima nchini(TIRA)imezindua mfumo wa uhakiki wa Bima kwa njia ya simu za mkononi kanda ya Kaskazini ambapo zoezi hilo limeambatana na ukaguzi wa bima kwenye...
View ArticleMahakama yaamuru Halotel kulipa faini ya milioni 700.
Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya Viettel Tanzania ‘Halotel’, Do Manh Hong na wenzake nane wamehukumiwa kulipa faini ya zaidi ya milioni 700 baada ya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Tao Zhang aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akioneshwa na kupatiwa maelezo ya kazi za sehemu mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)...
View ArticleLG Electronics set for a buoyant growth in eco-friendly and energy efficient...
Mr. Rama Esteem from Dar es Salaam, who was just a guest guest at the LG 2017 System Air Conditioning Tech Seminar and the Launch of the new eco-friendly & energy efficient air conditioning...
View ArticleGet to know more about the multi-talented Mr Puaz
Mr Puaz is a Tanzanian Photographer, Music Influencer and a songwriter goes by his real name Joel Vicent Joseph. Born 31st March 1985 in Arusha, Mr Puaz is popularly known for being a top Music...
View ArticleTGGA YAZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA HEDHI SALAMA KWA WASICHANA
Katibu Tawala wa Wilaya ya Lindi, Thomas Safari akizindua rasmi Kampeni ya Hedhi Salama kwa Wasichana iliyoandaliwa na Chama cha Tanzania Girl Guids (TGGA), ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya...
View Article