EFM REDIO YAMTUNZA MAMA
Katika kuazimisha siku ya mama duniani Efm redio kupitia kipindi chake cha uhondo wametoa zawadi kwa wakina mama wa wasikilizaji wao katika tafrija fupi iliopewa jina la “Begi la mama”. Tafrija hiyo...
View ArticleWANANCHI WA UHAMBILA WAASWA KUACHA KUHARIBU VYANZO VYA MAJI NA MALIASILI ZAO
Na Fredy Mgunda, Iringa.Wananchi wa kijiji cha uhambila wilayani Mufindi Mkoani Iringa wametakiwa kutunza na kuvilinda vyanzo vya maji na maliasili zilizopo katika kijiji hicho.Akizungumza wakati wa...
View ArticleWananchi wa Pemba wahimizwa kuchangamkia fursa za kiuchumi katika Soko la EAC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga amewataka wakazi wa Pemba na Tanzania kwa ujumla kuchangamkia ipasavyo fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya...
View ArticleYAJUE MATUMIS SAWIA YA MBOLEA AINA YA YARAMILA WINNER
Mbolea ya YaraMila Winner Ni mbolea ya NPK ya kupandia inayowekwa kwenye udongo wa mazao ya mboga mboga na matunda Matumizi 1. Kupandia – Weka kisoda kimoja hadi viwili kimoja kwa mmea kuzunguka shina...
View ArticleINTRODUCING: Beka Flavour - Libebe
wimbo wa kwanza kutoka kwa Beka Flavor ambaye ni member wa Yamoto Band, ambaye amekuwa akisikika mara nyingi katika nyimbo za kundi lakini kwa sasa amefanya wimbo akiwa mwenyewe baada ya uongozi...
View ArticleTHREE CHILD SURVIVORS FROM TANZANIA BUS CRASH ARRIVE IN U.S.
SAMARITAN'S PURSE HAS RESPONDED TO THE EAST AFRICAN NATION'S TRAGEDY BY TRANSPORTING THE HURTING CHILDREN TO THE U.S. FOR URGENTLY NEEDED MEDICAL CARE.Samaritan’s Purse has brought three severely...
View ArticleHALMASHAURI NCHINI ZAKUMBUSHWA WITO WA KUNUNUA DAWA ZA KUUA VILUWILUWI VYA...
Na Benedict Liwenga-WHUSM.Halmashauri nchini zimetakiwa kuitikia wito wa kununua dawa za kuua viluwiluwi vya mbu wa malaria zilizoanza kuzalishwa hapa nchini ili kukabiliana na ugonjwa wa malaria.Kauli...
View ArticleSerikali yatoa fedha 100% kwa ajili ya manunuzi ya dawa nchini
Na. Immaculate Makilika- MAELEZOSerikali imetoa asilimia miamoja ya fedha za bajeti ya dawa kwa mwaka 2016/2017 kwa ajili ya manunuzi ya dawa ikiwa ni moja ya mikakati ya kuboresha sekta ya afya...
View ArticleBenki ya CRDB tawi la USA RIVER laibuka kinara wa jumla kampeni ya tumia...
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la USA RIVER, Bi Jennifer Tondi akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bi. Esther Kitoka baada ya tawi lake kuibuka mshindi wa jumla...
View ArticleKWA SHERIA ZETU ZILIVYO HAITAWEZEKANA TUNDU LISSU KUMSHITAKI MAKONDA.
Na Bashir Yakub. SHERIA ZILIZOPITIWA :1. Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Jinai, Sura ya 20.2. Sheria ya Huduma za Mashtaka kwa Taifa, Na. 27/2008.3. Kanuni za Adhabu, Sura ya...
View ArticleKura zinazoharibika zinatokana na ukosefu wa elimu ya mpiga kura
Hussein Makame, NEC-aliyekuwa Dodoma Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa kura zilizoharibika zinazopatikana kwenye chaguzi zinasababishwa na wapiga kura wengi kukosa elimu ya mpiga kura.Hayo...
View ArticleTANZANIA NA CHINA ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUUZA BIDHAA ZA MUHOGO
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano,Mhe.Prof Makame Mbarawa (Wa tatu kushoto waliosimama) akishuhudia Utiaji saini mkataba wa kuuza China bidhaa za muhogo kutoka Tanzania Mkataba huo umesainiwa...
View ArticleNEWZ ALERT:MALIMA NA DEREVA WAKE WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA...
Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Aliyekuwa Naibu Waziri wa fedha na mbunge wa Mkuranga, Adam Kigoma Malima amefikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kumshambulia askari polisi.Malima anashtakiwa pamoja...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA...
Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana na Upepo mkubwa uliotokezea hapo jana katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe zikionekana kuezekwa na wenyewe. Jumla ya nyumba 123 ziliathirika...
View ArticleNAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza jambo pale alipotembelewa na ugeni kutoka Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa...
View ArticleSERIKALI IMEKUSANYA BILIONI 63 KUPITIA MTAMBO WA KUHAKIKI NA KUSIMAMIA HUDUMA...
Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) imekusanya shilingi bilioni 63,015,450,230 kwa kipindi cha Octoba 2013 mpaka Februari 2017 tangu kuanzishwa kwa...
View ArticleAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUTISHIA KUUA
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMkazi mmoja wa jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Ahmad Khalifa amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu kwa kosa la kumtishia kumua Hawa...
View Article