Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure
Yara Tanzania Ltd, imewekeza katika maabara ya kupima udongo ili kuweza kutambua virutubisho vilivyopo na vinavyokosekana kwenye udogo. Mara baada ya matokeo ya udongo kampuni hiyo kupitia wataalamu...
View ArticleTANZANIA HAIJAFIKIWA NA UGONJWA WA EBOLA-DKT MPOKI.
NA ALLY DAUD-WAMJW.TANZANIA bado haijafikiwa na ugonjwa wa ebola kama inavyodaiwa na baadhi ya watu kutokana na utafiti uliofanyika na wataalamu wa afya hapa nchini.Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara...
View ArticleTADB YATEMBELEA VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI MANYARA
Na Mwandishi wetu, ManyaraKatika kufanikisha azma yake ya kuwa benki kiongozi katika kuleta maendeleo ya kilimo nchini Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imevitembelea vya ushirika vya...
View ArticleTAASISI YA KARIMJEE JIVANJE YAKABIDHI KITABU CHA HISTORIA KWA JAJI MKUU NA...
Meneja Mkuu taasisi ya Karimjee Jivanje, Bi. Devotha Rubama akiwasilisha kitabu cha Historia cha Taasisi ya Karimjee Jivanje kwa Mhe. Jaji Mkuu na Rais wa Mahakama kuu ya Kenya, Mhe. David Maraga EGH...
View ArticleWALIMU WA SKULI YA AFYA NA SAYANSI ZA TIBA WA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR...
Na Ramadhani Ali – Maelezo ZanzibarNaibu Waziri wa Afya Bi. Harusi Said Suleiman ameiagiza Skuli ya Afya na Sayansi za Tiba ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kufanya tafiti kujua chanzo cha...
View ArticleWAETHIOPIA ZAIDI YA NANE WAKUTWA WAMEFARIKI PORINI KATIKA KIJIJI CHA AMANI...
Ditha nyoni - RUVUMARaia nane kutoka nchi ya Ethiopia wamekutwa wamefariki katika kijiji cha Amani makolo taarafa ya kingonsera wilayani mbinga mkoani wa ruvuma huku wengine 25 wakiwa hai wanashikiriwa...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA ALBINO KITAIFA
Na Husna Said & Nuru Juma- MAELEZOWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya uelewa juu ya...
View ArticleMUWEMBE WASITISHA SAFARI DAKIKA 45 PEMBA
NA HAJI NASSOR, PEMBAABIRIA waliokuwa wakitokea Unguja, wafanyakazi wa serikali na taasisi binafsi pamoja na wananchi wengine, juzi walilazimika kusubiri kwa dakika 45, kwenye eneo la mpakani baina ya...
View ArticleKATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga(wa Pili kutoka kushoto) Mkurugenzi Maendeleo ya watoto Margaret Mussai(wa Pili...
View ArticleLITA 6494 ZA DAWA HATARI ZAKUTWA KWENYE GHALA MWENGE
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya nchini inamshikilia mmiliki wa kampuni ya Techno Net Scientific kwa kuingiza kemikali bashirifu nchini zenye...
View ArticleNEWZ ALERT:RAIS DKT. MAGUFULI AIFUTA MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU CDA,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es...
View ArticleDED MEATU: MBEGU BORA, KILIMO CHA MKATABA MKOMBOZI KWA WAKULIMA WA PAMBA
Na Stella Kalinga, Simiyu.Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, Fabian Manoza amesema Matumizi ya Mbegu bora na Kilimo cha Mkataba ni suluhu ya wakulima wa pamba inayoweza kuwasaidia...
View ArticleRais wa Zanzibar afanya ziara Kisiwani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akiangalia jengo la ZSTC Mkoani Pemba lililoanguka ukuta kutokana na kuangukiwa na mti baada ya...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA TANGA ALHAJI MUSSA MBARUKU ATEMBELEA KUONA ATHARI ZA...
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisisitiza jambo wakati alipotembelea eneo la Neema kujionea athari za uharibifu wa barabara ya Tanga hadi Pangani kutokana na mvua kubwa...
View ArticleWAZIRI SIMBACHAWENE ATOA AGIZO KWA WAKUU WA MIKOA KUTATUA CHANGAMOTO YA...
Na Silvia Hyera.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene amewataka Wakuu wa Mikoa nchini kufanya tathmini ya madawati katika...
View ArticleNAIBU MKURUGENZI WA IMF AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Tao Zhang amewasili nchini kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), pamoja na...
View ArticleMPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM
Na Ripota wa Mafoto Blog, DarCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema mapandikizi ya upinzani na masalia ya wasaliti hawatapenya kwenye uchaguzi unaoendelea ndani ya Chama kwa kuwa njama zao zimeshabainika....
View ArticleJAFO ATOA WIKI MBILI KWA HALMASHAURI YA CHAMWINO KUKAMILISHA MRADI WA MAJI...
Na Shanni AmanziNaibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI)Selemani Jafo amemtaka Mkurugenzi wa Wilaya ya Chamwino Athuman Masasi kuhakikisha kuwa Mradi wa maji wa...
View Article