ULEGA AWATEMBELEA WANANCHI WA TAMBANI WALIOKOSA MAWASILIANO BAINA YA KIJIJI...
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega amewatembelea wananchi wa Kijiji Tambani ambao hawana mawasiliano ya kuvuka kwenda kutokana na daraja kuchukuliwa na maji....
View ArticleMWENYEKITI WA KIJIJI CHA IKUNGI AVULIWA MADARAKA.
MKUTANO maalum wa Kijiji cha Ikungi wilayani Ikungi mkoani Singida umemuondoa Mwenyekiti wa kijiji hicho Hussein Ikusi kutokana na matumizi mabaya ya madaraka kwa kufanya ubadhirifu wa mali za kijiji...
View ArticleDKT.MABODI: VIONGOZI WA CCM KUFANYENI KAZI ZA KIJAMII
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.WANANCHI visiwani vya Zanzibar wameshauriwa kuendeleza kwa vitendo Utamaduni wa uzalendo wa kusaidiana wakati wa maafa mbali mbali yanayotokea nchini bila kujadili tofauti za...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AYAFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017
Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Yusufu Singo (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mashindano ya mbio ya Km 21 ya Dasani Marathon 2017 baada ya...
View ArticleYara yazindua maghala ya mbolea Rwanda, wakulima mbeya wafurahia ubora wa...
Mkurugenzi wa kampuni ya Yara Mr. Alexandre Macedo (kati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ghala la kuhifadhi mbolea nchini Rwanda. Mr. Macedo ni msimamizi pia wa Yara Rwanda na Burundi ambapo...
View ArticleMV. NYERERE KUFUNGWA INJINI MPYA
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Iddi Mgwatu, ametembelea na kukagua kivuko cha MV. Nyerere kinachotoa huduma kati ya Bugorola na Ukara katika kisiwa cha Ukerewe mkoa wa...
View ArticleMBEYA CITY YANOGESHA UMISSETA COPA COCA-COLA MBEYA
Michezo ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari-UMISSETA Copa Coca- Cola kwa Mkoa wa Mbeya imezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Sokoine na uzinduzi huo ulionogeshwa na wachezaji wa...
View ArticleWADAU WAFUNGUA STUDIO YA NYWELE, KUUZA SHANGA NA VITO CLEMMONS, NORTH...
Teddy na Talkia Tumbi ambao ni mtu na dada yake wamefanya uzinduzi wa studio ya nywele na kuuza shanga na vito (jewelry) iliyopo kwenye mji wa Clemmons, North Carolina nchini Marekani. Studio hiyo...
View ArticleSERIKALI KUAJIRI WATUMISHI WA KADA YA AFYA KUZIBA PENGO LA WENYE VYETI FEKI
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kuajiri watumishi wa idara ya afya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi na watumishi ambao wameondolewa katika...
View ArticleSERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA...
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Dk. Laurian Ndumbaro (kushoto) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya za Mamlaka za Serikali za Mitaa (ALAT) Steven Mhapa (katikati) wakati...
View ArticleJokate awaomba watu maarufu kusaidia kuondoa changamoto katika sekta...
Mwanamitindo, muigizaji na Miss Tanzania namba mbili 2006, Jokate Mwegelo ametoa wito kwa watu maarufu nchini kusaidia kuondoa changamoto katika sekta mbalimbali ili kupunguza mzigo kwa serikali....
View ArticleCALL FOR ARTISTS 2017 : KARIBU MUSIC FESTIVAL 3rd (Fri) – 5th (Sun) NOVEMBER...
Karibu Cultural Promotions Organization in collaboration with Legendary Music Entertainment and Promotions Company Limited are organizing the 4th edition of the “Karibu Music Festival”, an annual Three...
View ArticleKUNDI LA MTANDAO WA WHATSAPP LA "SARATANI INFO" LATOA MSAADA WA BIMA ZA AFYA...
Mabalozi wa Kundi la Mtandao wa Kijamii wa Whatsaap la Saratani Info wakiwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC tayari kutembelea kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC.Mabalozi wa Kundi...
View ArticleSERIKALI KUDUMISHA MATIBABU YA UZAZI PINGAAMIZI.
SERIKALI yaja na mpango mkakati wa kudumisha matibabu ya uzazi pingamizi ili kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wenye umri chini ya miaka mitano nchini Tanzania. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu...
View ArticleTIMU ZA DAR ZAJITOKEZA KWA WINGI USHIRIKI MICHUANO YA KIKAPU
Uandikishaji ulifanyika Tegeta Complex jijini Dar es Salaam huku timu zaidi ya 20 zikijitokeza kujiandikisha. Michuani ya Sprite Bball Kings inaendeshwa na kituo cha Televisheni na Radio cha East...
View Article