Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo
Rais mteule wa Ufaransa, Emmanuel Macron anataraji kuapishwa leo Jumapili kuongoza nchi hiyo, akiwa ni rais wa kwanza mwenye umri mdogo kuwahi kuongoza taifa hilo.Kuapishwa kwa Macron kunakuja huku...
View ArticleNEC yaanza maandalizi uboreshaji wa daftari la wapiga kura
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akifafanua jambo wakati akitoa elimu ya mpiga kura kwenye kituo cha redio Dodoma FM cha mjini Dodoma.Kulia kwake ni...
View ArticleKMTC YAJIPANGA KUJENGA JIKO LA KUYEYUSHIA CHUMA
Na. Benedict Liwenga-WHUSM, Moshi.Kiwanda cha Utengenezaji Vipuri vya Mashine Kilimanjaro (KMTC) iko mbioni kujenga mtambo utakaotumika katika kuyeyusha chuma kwa ajili ya kuendeleza shughuli zake za...
View ArticleWAZAZI WATAKIWA KUWAEPUSHA WATOTO NA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI.
Na Hassan Silayo-MAELEZOÂ Wazazi nchini wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa watoto kwa kuhakikisha wanawaendeleza na kuwawezesha wafanikishe ndoto zao kwa kuwaepusha na ndoa pamoja na mimba za utotoni....
View ArticleDua Maalum ya kuliombea Taifa Amani na Utulivu pamoja na kujiandaa...
Na Othman Khamks Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Mkusanyiko wa Waumini wa Dini ya Kiislamu katika mfumo wa kushikamana bila ya kufarakana daima huzaa baraka...
View ArticleVIJANA WATAKIWA KUUFAHAMU UMUHIMU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Mabalozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Yohana Lambo Mayenga pamoja na Suzane William Mollel wamekutana na Wafunzi wa Chuo cha Stella Maris kilichopo Mkoani...
View ArticleBREAKING NYUZZZZ......: ZACHARIA HANS POPPE ABWAGA MANYANGA SIMBA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Simba, Zacharia Hans Poppe ameachia ngazi.Habari za uhakika zimeeleza kuwa Hans Poppe ameandika barua ya kuachia ngazi kwa madai kuwa anaona mambo yanaendeshwa...
View ArticleSHINDANO LA MISS USTAWI KUFANYIKA MEI 19 UKUMBI WA KING SOLOMON JIJINI DAR...
 Mashindano ya Miss Ustawi wa Jamii 2017 yanatarajia kufanyika siku ya ijumaa, Mei 19 katika Ukumbi wa King Solomon jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Warembo hao,...
View ArticleMBUNGE WA LUSHOTO ATEMBELEA BARABARA YA MOMBO-SONI KUJIONEA ATHARI ZA BARABARA
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akikagua athari za mafuriko kwenye barabara ya Soni hadi Mombo ambapo imefungwa kutokana na vifusi,mawe kudondoka barabarani na...
View ArticleNaibu Meya Ilala Awaomba Vijana Temeke kuchangamkia fursa ya mikopo...
Na Humphrey Shao ,Globu ya Jamii Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto amewaomba Vijana wa Temeke kuchangamkia fursa ya Mikopo ya Vijana inayotolewa na Halmashauri hiyo.Kumbilamoto...
View ArticleMkazi wa Bunju James Peter azoa milioni za Biko
MKAZI wa Bunju jijini Dar es Salaam, James Peter amefanikiwa kuibuka kidedea katika droo ya tano ya wiki ya kuwania Sh Milioni 10 baada ya kutangazwa mshindi kwenye kinyang’anyiro hicho.Droo hiyo ya...
View ArticleTFDA: DAWA ZILIZOPO SOKO ZINA UBORA WA ASILIMIA 98
Frank Mvungi-MaelezoSerikali imewahakikishia wananchi kuwa dawa zilizopo katika soko zina ubora kwa asilimia 98 na itahakiksha zinaendelea kukidhi vigezo vya ubora kama zilivyokuwa wakati zinasajiliwa...
View ArticleZiara ya Rais wa Zanzibar Dk.Shein kukagua Maeneo yaliyokumbwa na Mafuriko leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) alipokuwa akiangalia maji ya Mvua yaliyofurika katika bonde la Mwanakwerekwe nyumba mbili leo kutokana na...
View ArticleNEWS ALERT: KATIBI WA CCM KATA YA BUNGU WILAYANI KIBITI AUWAWA KWA RISASI
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani Kibiti, Alife Mtulia ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga...
View ArticleLG 2017 System Air Conditioning Tech Seminar held in Dar es salaam
Green Technology embedded products are gaining fast traction in response to the increased regulations for energy efficient products locally and globallyIn response to the growing demand for...
View ArticlePROF. MUKANDALA AWAASA VIJANA WASIKUBALI KUSUKUMWA NA MAWIMBI
*Asema utu, maendeleo na maisha bora havipatikani kwa fedhaMAKAMU MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Rwekaza Mukandala amewataka vijana wanaohitimu kidato cha sita nchini wawe makini na...
View ArticleAnnouncement of Zuriels Annual DUSUSU Awards to African First Lady for 2017...
It is possible you have heard or read about Zuriels annual DUSUSU Awards, which she presents to an African First Lady, whose work in the area of Girls Education in their countries exemplifies Zuriels...
View ArticleRC WA ARUSHA AONGOZA WANANCHI KUWAAGA WANAFUNZI KWENDA MAREKANI KWA MATIBABU
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akifurahia jambo na mmoja wa marubani wa kampuni ya Samaritan's Purse kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kabla ya wanafunzi watatu hawajaelekea...
View Article