BENKI YA NMB YAFANIKISHA SIKU YA WAUGUZI MKOANI GEITA
Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali mstaafu Ezikiel Elias Kyunga akiwa kwenye picha ya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama pamoja na mwakilishi wa makampuni ambayo yamefadhili shughuli...
View ArticleNEWS ALERT: TRENI YA ABIRIA ILIYOKUWA IKIELEKEA BARA YAACHA NJIA, MAZIMBU...
Treni ya abiria iliyokuwa ikitokea jijini Dar es salaam kwenda Mikoa ya Tabora, Mwanza na Kigoma, imepata ajali usiku wa kuamkia leo katika eneo la stesheni ya Mazimbu Mkoani Morogoro.Kwa mujimu wa...
View ArticleSI KWELI KWAMBA TUMEMKADIRIA SHILINGI MILIONI 400 MSANII DIAMMOND-KAYOMBO
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said .MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Richard Kayombo, ameendelea kukanusha kwamba, Mamlaka hiyo haijamkadiria msanii wa...
View ArticleHOSPITALI YA MKURANGA YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA WODI YA WAZAZI KUTOKA...
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii .HOSPITALI ya Wilaya ya Mkuranga imepata msaada wa wodi ya wazazi vyenye thamani ya sh. Milioni 65 kutoka kwaTaasisi ya Dhi Nureyn .Akizungumza baada ya makabidhiano...
View ArticleMAKUSANYO YA KODI YA PANGO LA ARDHI YAONGEZEKA MARADUFU.
Na. Hassan Mabuye, Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Ardhi.Serikali imefanikiwa kukusanya jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 76 cha makusanyo ya kodi ya pango la ardhi hadi kufikia tarehe 13 Mei 2017...
View ArticleSerikali ya JPM Itafanikiwa katika Vita Dhidi ya Dawa za Kulevya - Mrema
Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana...
View ArticleWMA REKEBISHENI MIZANI KWENYE MAGHALA YA KOROSHO-MAJALIWA
*Serikali kugawa salpha bure kwa wakulima wa koroshoWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi wa Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) kuhakikisha wanafanya marekebisho ya mizani katika maghala ya...
View ArticleBENKI YA NMB YAIKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 1.7
Na Benny Mwaipaja, WFM-Dodoma Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa mara ya kwanza imetoa gawiwo la shilingi bilioni 1.7 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za Benki hiyo. Hundi kifani ya...
View ArticleWADAU GODWIN D. MSIGWA NA DKT. FARAJA H. MPANGIKE WAMEREMETA LEO DAR ES SALAAM
Wadau Godwin D. Msigwa na Dkt. Faraja H. Mpangike wakitangazwa kama mume na mke katika kanisa la Dar es salaam Pentecostal Church (DPC) jijini Dar es salaam jioni hii Wadau Godwin D. Msigwa na Dkt....
View ArticleMrema: Serikali ya JPM Itafanikiwa Vita Dhidi ya Dawa za Kulevya
Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana...
View ArticleKWA SIMU TOKA LONDON – Mahojiano na Janet Chapman – Nini Faida ya Ujenzi wa...
Na Freddy MachaJanet Chapman ni kati ya Waingereza wanaojitolea (bila malipo ), miaka mingi kujaribu kusaidia Afrika, hususan Tanzania. Akiwa mwanachama wa Shirika la Misaada ya Maendeleo Tanzania...
View ArticleMBUNGE WA CCM AMWAGA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 33 VITUO VYA...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametoa msaada wa vifaa tiba ikiwemo vitanda vya kisasa vya kujifungulia,vitanda vya...
View ArticleWAALIMU NA WANAFUNZI WILAYANI KONDOA WATAKIWA KUHAKIKISHA WANAFANYA VIZURI...
Na Mahmoud Ahmad, Globu ya Jamii - KondoaMkuu wa wilaya ya Kondoa Sezaria Makota amewataka waalimu,watendaji na wadau wa elimu wilayani humo kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi unavuka lengo walilojiwekea...
View Article