WADAU WAOMBWA KUICHANGIA TIMU YA KIKAPU YA VIJANA U-16 INAYOJIANDAA KUSHIRIKI...
Na Nuru Juma & Husna Saidi-Maelezo.Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) linajiandaa kushiriki mashindano ya kanda ya Zone 5 Kimataifa kwa watoto chini ya umri wa miaka 16 yatakayofanyika...
View ArticleKINONDONI YAJIPANGA KATIKA UBORESHAJI WA ELIMU-MANYAMA
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiNaibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni , George Manyama amesema kuwa manispaa imejipanga katika katika kutoa elimu bora kwa wanafunzi.Manyama ameyasema hayo katika kilele...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 23, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO...
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha Ishirini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 12, 2017.Waziri wa Ardhi,Nyumba na...
View ArticleSERIKALI YA INDIA KUTOKA DOLA MILIONI MILIONI 500 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA...
Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.Serikali kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji imesema kuwa Serikali ya India imeahidi kutoa dola milioni 500 kwa ajili utekelezaji wa miradi ya maji katika miji 16 ya...
View ArticleKarata 15 - The new Chart show in town
Katika kukuongezea burudani wewe msikilizaji wa 93.7fm Dar es salaam, Pwani na 91.3fm Mwanza, kituo cha E- fm redio kinakuletea kipindi kipya cha The chart show kitakacho husisha ngoma kali...
View ArticleMKUU WA WILAYA AONGOZA KILELE CHA SIKU YA WAUGUZI KISHAPU
Wauguzi wilayani Kishapu wamepongezwa kwa kazi nzuri na kutakiwa kuendelea kuipenda kazi yao kuchapa kazi katika mazingira yoyote waliopo kwani wao ni chachu ya afya katika jamii.Hayo yamesemwa leo na...
View ArticleWaziri Mwakyembe aipongeza Klabu ya Afrika Lyon kwa kuwa Wazalendo
Na Lorietha LaurenceWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe  ameupongeza uongozi wa Klabu ya michezo ya Afrika Lyon kwa kutumia mchezo wa mpira wa miguu kuelimisha jamii...
View ArticleSERENGETI YAREJESHA UDHAMINI TAIFA STARS, YAIMWAGIA BILIONI 2.1
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa timu ya Taifa Stars itafanya vizuri katika mashindano mbalimbali itakayoyakabili  hapo baadae,kutokana na wadau...
View ArticleMUHIMBILI KUANZA UPANDIKIZAJI WA VIFAA VYA USIKIVU JUNI, MWAKA HUU
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imesema kwamba huduma ya kupandikiza vifaa vya usikivu kwa watoto wenye matatizo ya masikio na watu wengine itaanza kutolewa Juni, mwaka huu.Huduma ya...
View ArticleKAMPUNI YA SPORTPESA YAINGIA MKATABA WA MIAKA MITANO WA KUIDHAMINI KLABU YA...
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Kampuni ya SportPesa imeingia mkataba wa miaka mitano wa kuidhamini klabu ya Simba ukiwa na thamani ya Bilion 4.9 .Kampuni hiyo inayojishughulisha na masuala ya michezo...
View ArticleYara yazindua ghala la mbolea Rwanda
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Yara Tanzania, Alexandre Macedo (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ghala la kuhifadhi mbolea nchini Rwanda, uliofanyika hivi karibuni. Macedo ni...
View ArticleJK Afanya Ziara Mashariki mwa Libya
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika katika Usuluhishi wa Mgogoro wa Libya, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefanya ziara Mashariki mwa Libya tarehe Mei, 11 2017.Katika ziara hiyo, Rais Mstaafu...
View Article