KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA...
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akisamiliana na Watumishi wa Mahakama, Kanda ya Arusha alipowasili katika viwanja vya Mahakama Kuu-Arusha kukamilisha ziara yake ya siku mbili...
View ArticleMAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MAMA SIZAKELE ZUMA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa ameongozana na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, wakati wakielekea kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za...
View ArticleCCM Z’BAR YAWAFARIJI WALIOATHIRIWA NA MAFURIKO.
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. ZAIDI ya Nyumba 300 katika maeneo mbali mbali ya Mkoa wa Mjini Magharibi zimeathiriwa na Mvua za masika zinazoendelea kunyesha hivi sasa. Akizungumza katika mtaa wa ziwa...
View ArticleTADB, TAHA WAPANGA KUSAIDIA SEKTA YA MALI MBICHI NA MATUNDA (HORTICULTURE)
Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) na Asasi Kilele ya wakulima wa Malimbichi na Matunda Tanzania (TAHA) zinajipanga kusaidia sekta Malimbichi na Matunda (horticulture) ili kuongeza tija...
View ArticleKAMPUNI YA TANCOAL ENERGY YATEKELEZA AGIZO LA SERIKALI
KAMPUNI ya kuzalisha makaa ya mawe nchini, Tancoal Energy Limited imetekeleza kwa zaidi ya asilimia 100 agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa ya kuongeza...
View ArticleMbolea za Yara zanufaisha wakulima wa Viazi, Mbeya
Afisa kilimo kutoka kampuni ya Yara Tanzania Ltd ambao ni wazalishaji na wasambazaji wa mbolea nchini, Maulid Mkima (kushoto) akiwa na mmoja wa wakulima wa viazi katika kijiji cha Simambwe Wilaya ya...
View ArticleMTANZANIA KUTOKA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI AZINDUA CHARLES NEWA GOLF...
Kushoto ni Liban Newa mchezaji wa Golf kutoka Durham, North Carolina akikabidhi vifaa vya mchezo wa golf kwa watoto katika viwanja vya mchezo huo Lugalo jijini Dar ikiwa kama sehemu ya uzinduzi wa...
View ArticleSIKU YA WAUGUZI KITAIFA KUFANYIKA ITIGI KWA UFANISI MKUBWA
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi ameridhishwa na maandalizi ya maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani ambayo kitaifa yatafanyika katika Hospitali ya St. Gasper halmashauri ya Wilaya ya Itigi...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa kuongoza mkutano wa Tasnia ya Korosho
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Korosho utakaofanyika kwa siku mbili kuanzia Jumamosi, Mei 13, 2007, mjini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi...
View ArticleRAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali (hawaonekani pichani) waliohudhuria katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini Jacob...
View ArticleBENKI KUU YA TANZANIA YAFUTA LESENI YA MBINGA COMMUNITY BANK PLC
Benki Kuu ya Tanzania imeamua kuifunga Mbinga Community Bank Plc, kusitisha shughuli zake zote za kibenki na kufuta leseni yake ya biashara ya kibenki kuanzia tarehe 12 Mei, 2016.Aidha Benki Kuu ya...
View ArticleBALOZI MPYA WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekikti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Moussa Ahmad...
View ArticleKISHAPU YAZINDUA MASHINDANO YA UMISETA
Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imezindua mashindano ya Michezo ya Sekondari Tanzania (UMISETA) kwa mwaka 2017 kitarafa katika viwanja vya shule ya sekondari Shinyanga.Mashindano hayo...
View ArticleUZINDUZI WA LIGI YA MABENKI "BRAZUKA KIBENKI" WAFANYIKA, TIMU 16 KUSHIRIKI...
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiUZINDUZI wa ligi ya mabenki umefanyika huku timu zikiongezeka na kufikia 16 kushiriki katika mchezo wa mpira wa miguu na mpira wa pete (netball) huku droo ya makundi...
View ArticleWADAU WA MIFUGO WAOMBA ‘SAPOTI’ YA TADB
Na mwandishi wetu, ArushaWadau wa sekta ya mifugo mkoani Arusha wameiomba Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kuwasaidia katika kuendeleza sekta hiyo kwa kuwapatia mikopo na mahitaji mengine...
View ArticleFILBERT BAYI AFUNGA KOZI YA MAFUNZO YA UTAWALA BORA KWA WADAU WA MPIRA WA MIGUU
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii. KATIBU mkuu wa Kamati ya Olimpiki Nchini (TOC) Filbert Bayi amefunga kozi ya utawala bora iliyoendeshwa na mkufunzi wa FIFA Henry Tandau iliyokuw ainafanyika katika...
View ArticleWADAU WAOMBWA KUICHANGIA TIMU YA KIKAPU YA VIJANA U-16 INAYOJIANDAA KUSHIRIKI...
Kaimu Katibu Mkuu Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) Michael Mwita akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kuwaomba wadau kuichangia shilingi milioni 30 kwa timu...
View ArticleBALOZI DK.MAHIGA AKABIDHIWA MAGARI NA SERIKALI YA KUWAIT
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Balozi Dk. Augustine Mahiga amepewa msaada wa magari kutoka serikali ya Kuwait ilikuweza kusaidia katika shughuli...
View Article