MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA SIMU ZA MIKONONI YA VIATTEL TANZANIA...
Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viattel Tanzania (Halotel) Do Manh Hong, kampuni amepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka...
View ArticleBayport yaikomboa Halmshauri mpya ya Chalinze kwa kuwapatia kompyuta
Na Mwandishi Wetu, ChalinzeTAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services, jana iliikomboa Halmashauri mpya ya wilaya Chalinze kwa kuipatia kompyuta mbili kwa ajili ya kupunguza changamoto za...
View ArticleUWANJA WA NAMFUA WATOA MATUMAINI KWA WANA SINGIDA.
Uwanja wa Namfua uliopo manispaa ya Singida ambao ukarabati wake umefikia hatua ya kuridhisha umeanza kutoa matumaini kwa wananchi wa Singida ambao wamekuwa wakifuatilia kwa karibu ukarabati wake.Mkuu...
View ArticleMISS TANZANIA AKABIDHIWA ZAWADI YAKE YA GARI
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiKamati ya Miss Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Grace Product na Gift Jewelers wamekabidhi gari kwa Mrembo wa Shindano hilo Diana Edward Lukumai ambaye alishinda...
View ArticleTANESCO YAWAOMBA WANANCHI KUTOA TAARIFA MAPEMA WAONAPO HITILAFU YA UMEME...
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said.SHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), limewaomba wateja wake na wananchi kwa ujumla kutoa taarifa mapema mara inapotokea hitilafu ya umeme iliyosababishwa na mvua au sababu...
View ArticleTADB YAKARIBISHWA KUWEKEZA ARUSHA
Wito umetolewa kwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania (TADB) kuchangamkia fursa za uwekezaji katika serkta ya kilimo na mifugo kwa kuwapatia mikopo wakulima wanaojishughulisha katika sekta...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BNGENI MJINI DODODA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe, bungeni mjini Dodoma Mei 11, 2017 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara mbalimbali wa nchini pamoja na Afrika ya Kusini wakati aliposhiriki pamoja na Rais wa Afrika Kusini...
View ArticleDC KASESELA AFUNGUA WARSHA YA KUJENGA UELEWA KUHUSU PROGRAMU YA KUENDELEZA...
Na Mathias Canal, Iringa Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mheshimiwa Richard Kasesela amefungua warsha ya siku tatu ya kuwajengea wadau uelewa wa pamoja kuhusu programu ya kuendeleza sekta ya kilimo Awamu ya...
View ArticleRUFAA DHIDI YA MBUNGE WA BUNDA MJINI ESTER BULAYA YATIMBA MAHAKAMA YA RUFAA...
Aliyekuwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Steven Wassira akiwa katika jengo la Mahakama ya Rufaa jijiji Dares Salaam akizungumza jambo na baadhi ya mawakili kabla ya kusikiliza kwa Rufaa ya...
View ArticleWENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE WAKUTANA NA...
Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa A. Zungu akifafanua jambo wakati wa semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za...
View ArticleGovernment Launches 'Nipo Tayari' Campaign
TANZANIA needs to end open defecation and have all people using improved toilets, to reflect the status of a middle-income country. The Minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and...
View ArticleMVUA ZAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA MKURANGA
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKutokana na mvua zinazoendelea katika maeneo tofauti barabara mbili zimekata mawasiliano na kufanya baadhi huduma za kijamii kushindwa kufanyika.Barabara zilizokata...
View ArticleASASI YA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA TANZANIA (THPS) YAANDAA MKUTANO WA SIKU...
Na Ramadhani Ali-MaelezoTaasisi zinazojishughulisha na mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na ukimwi Zanzibar zimetakiwa kuelekeza nguvu katika makundi maalum ambayo maambukizi...
View ArticlePROF. MAJI MAREFU AOKOA WANANCHI WA JIMBO LAKE KWENYE MAFURIKO
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani maarufu kama Prof Maji Marefu akitoa msaada wa kuwaokoa wananchi wa Jimbo lake kwenye mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo...
View ArticleRAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA AWASILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM NA...
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akipunga mkono wakati akiwasili Ikulu akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleLG YAZINDUA BIDHAA YA MPYA YA KIYOYOZI INAYOTUMIA UMEME MDOGO NA RAFIKI KWA...
Mkurugenzi Mtendaji LG Electronics Afrika Logistics, Janghoon Chung akingumza na waandishi habari juu ya ubora wa viyoyozi vya LG iliyofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Legency jijini Dar es Salaam....
View Article