MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, BALOZI SEIF AWASILISHA HOTUBA YA MAKADIRIO...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018 katika...
View ArticleWAZIRI PROFESA MBARAWA KUMWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI KIGALI, RWANDA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ameondoka nchini leo kwenda Kigali Rwanda, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye...
View ArticleUMOJA WA WATANZANIA SWEDEN (TANRIKS) WATOA SALAM ZA RAMBIRAMBI
Sisi watanzania tunaoishi Sweden kwa majonzi na masikitiko makubwa tunatoa pole zetu kuwafikia familia zilizoguswa na msiba, shule ya Lucky Vicent Arusha na Taifa kwa ujumla kwa kupoteza watoto,...
View ArticleTanzania na Afrika kusini kuongeza maeneo ya ushirikiano ili kunyanyua uchumi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya Mawaziri wa Kamisheni ya Pamoja ya Kitaifa kati ya Tanzania...
View ArticleCHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TAWLA CHATIMIZA MIAKA 27 KATIKA HUDUMA ZA...
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia Soka akikata keki pamoja na baadhi ya wanachama wa chama hicho katika hafla fupi ya chama hicho kutimiza miaka 27 tamgu...
View ArticleMECHI YA YANGA NA MBEYA CITY SASA KUPIGWA SAA 12 JIONI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MCHEZO wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara baina ya Yanga na Mbeya City unatarajiwa kufanyika kuanzia majira ya saa 12 badala ya saa 10 jioni kama ilivyozoeleka.Akitoa...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Nyabaganga Talaba amewataka Watanzania kupenda kununua bidhaa zinazozalishwa hapa nchini ili kwenda sambamba na sera ya Tanzania yenye viwanda pamoja na...
View ArticleSHIRIKA LA WOTESAWA LAZIDI KUSAMBAZA ELIMU YA KUTETEA HAKI ZA WATOTO...
Mwanasheria na Msimamizi wa Mradi wa Uwezeshaji Shirikishi kwa watoto wafanyakazi wa nyumbani nchini Tanzania, Jackline Ngallo, akiwasilisha mada kwenye semina kwa Viongozi wa serikali za mitaa kutoka...
View ArticleRais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete Afanya Ziara Tripoli, Libya
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa AU katika Usuluhishi wa Mgogoro wa Libya jana tarehe 10 Mei amefanya ziara jijini Tripoli, Libya kuzungumza na wadau muhimu wa siasa wa Libya. Safari hiyo ni ya kwanza...
View ArticleRAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI,JACOB...
Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma pamoja na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu na wananchi waliofika kumpokea mara baada ya...
View ArticleMASAUNI AFUNGUA GEREZA LA WANAWAKE MPWAPWA
Na Mwandishi Wetu, MOHA.Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Benki ya Exim inatarajia kujenga nyumba 9500 za askari magereza ili kukabiliana na changamoto za makazi ya...
View ArticleKAIMU JAJI MKUU AMALIZA ZIARA YAKE, MANYARA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA MANYARA
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma, akisalimiana na baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Wilaya Hanang/Katesh pindi alipowasili katika Mahakama hiyo kwa lengo la kujionea hali ya...
View ArticleMKE ANARUHUSIWA KUKOPA KWA JINA LA MME WAKE BILA RIDHAA YA MME.
Na Bashir Yakub.Ndio ni kweli mwanamke aliyeolewa anaweza kukopa hela kwa jina la mme wake. Tena kukopa kwenyewe si lazima awe amepata ridhaa au ruhusa kutoka kwa mme...
View ArticleWAZIRI MKUU: SERIKALI KUCHIMBA MABWAWA YA MAJI ILI KUPUNGUZA UHABA WA MAJI...
Na Husna Saidi.SERIKALI imesema imeandaa mpango kabambe wa uchimbaji wa mabwawa ya kutiririsha maji ya mvua katika baadhi ya maeneo nchini ili kupunguza hadha ya ukosefu wa maji kwa wananchi.Hayo...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MBILI MKUTANO...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017. Waziri Mkuu...
View ArticleLAPF YADHIHIRISHA KUWA CHAGUO BORA KWA WAAJIRIWA WAPYA
Mfuko wa Pensheni wa LAPF umekuwa ni chaguo la wanachama hasa waajiriwa wapya kutokana na ubora wa huduma zinazotolewa pamoja na kutekeleza ahadi zake kwa wanachama. Hivi karibuni Serikali ilitoa ajira...
View Article