Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 117221 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI KWA MWAKA...

Waziri wa Mambo ya NdaniyaNchi, Mwigulu Nchemba akiwasilisha makadirio ya Bajeti yake kwa mwaka 2017/2018 ambapo aliliomba Bunge liidhinishe Bajeti ya jumla ya Shilingi 930,396,817,000 wakati wa kikao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FRIENDS OF OCEAN WAUNGA MKONO KAMPENI YA KIMATAIFA YA KUTUNZA FUKWE ZA BAHARI

Wakazi wa Mikocheni B wanaounda Chama cha FRIENDS OF OCEANS wakisafisha fukwe ya Escape One katika uzinduzi wa kampeni ya OKOA BAHARI ikiwa ni moja ya juhudi za kuweka mazingira safi ya bahari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU JK AENDELEA NA JUHUDI ZA USULUHISHI WA MGOGORO WA LIBYA

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afrika katika Mgogoro wa Libya ameendelea na juhudi zake za usuluhishi wa mgogoro wa Libya kwa kushiriki katika Kikao cha 11 cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AFANYA ZIARA YAKE YA KWANZA BABATI-MKOANI MANYARA

aimu Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu-Kanda ya Arusha, akifafanua jambo. Kaimu Jaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Mhe. Prof.Ibrahim Juma (wa tatu kushoto), Kaimu Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

Taasisi na Asasi Zisizokuwa za Kiserikali za Tanzania (NGOs) taasisi za serikali zinazoshughulikia uwajibikaji na wadau wengine kadhaa walikutana hivi leo  ili kufanya tathmini ya hatua zilizopigwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA ZIZINGATIE SHERIA KATIKA UNUNUZI WA HUDUMA KWA UMMA

Na Ismail Ngayonga, MAELEZOKATIKA  kipindi cha Mwaka wa Fedha wa 2015/16,  Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) ilifanya ukaguzi wa manunuzi ya umma na uhakiki wa ukaguzi uliofanyika Mwaka wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askofu Gadi atuma salamu za rambirambi Shule ya Lucky Vincent Arusha, aomba...

Askofu wa Kanisa la Good News For All Ministry Dkt. Charles Gadi (mwenye miwani)akifanya maombi maalum  pamoja na Wachungaji wa kanisa hilo ya kuomba mvua zinazoendelea nchini zisiwe na madhara kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mradi wa Hakuna Wasichoweza wazidi kuleta faraja kwa watoto wa kike mkoani Lindi

Mradi wa “Hakuna Wasichoweza” unaoendeshwa kupitia taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation na kutekelezwa kwa ushirikiano wa Shirika lisilo la Kiserikali la T-Marc katika mkoa wa Lindi unazidi kuleta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC NDIKILO AMALIZA ZIARA YAKE KIMKOA NA KUSISITIZA MAMBO MAKUU MANNE

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani MKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo,amemaliza ziara yake ya kutembelea wilaya sita kimkoa,ambapo amehimiza mambo makuu manne ikiwemo ulinzi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HaloPesa, Selcom kupanua wigo wa huduma za kifedha

  Katika kufanikisha azma ya kupanua wigo wa huduma za kifedha kwa wananchi wenye vipato tofauti, kampuni ya mawasiliano ya Halotel imeendelea kuunganisha huduma yake ya Halopesa na huduma nyingine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUJENGA DARAJA LA JUU ENEO LA KAWE- BONDENI JESHINI

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA. Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano imesema itajenga daraja la juu kwa ajili ya kivuko cha waenda kwa miguu(Over head Pedestrian Bridge) eneo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAVITAHADHALISHA VYOMBO VYA HABARI KUACHA KAMPENI CHAFU

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevionya Vyombo vya Habari ambavyo vinaripoti habari zenye lengo za kuichafua shirikisho hilo na viongozi wake .Hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBEYA WAANZA SAFARI YA KUJA KUIVAA YANGA WIKIENDI HII

KIKOSI Mbeya City Fc , leo kimeanza safari kuelekea jijini Dar es Salaam tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara dhidi ya wenyeji Yanga uliopangwa kuchezwa kwenye uwanja wa Taifa mwishoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE WA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya Mhe. Alojz Peterle (kulia) pale ugeni wa Wabunge kutoka Bunge la Umoja wa Ulaya ulipomtembelea leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JACOB ZUMA KUHUDHURIA KONGAMANO LA BIASHARA NCHINI MEI 11.

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma anatarajiwa kuhudhuria Kongamano la Biashara litakalofanyika kesho May 11 katika ukumbi wa Mikutano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAMPONGEZA TENGA KUPATA UBOSI CAF

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limempongeza Rais wa Heshima wa shirikisho hilo, Leodegar Chilla Tenga kwa kuteuliwa kuwa Rais wa Kamati ya Usimamizi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKUU WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU AFANYA KIKAO NA WAFANYAKAZI WA...

  Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akizungumza wakati wa kikao cha wafanyakazi wa ofisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA YA BIASHARA YA MENO YA TEMBO

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWatu wawili wanashikiliwa kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali za Meno ya Tembo vipande sita ambavyo vilivyokamatwa Chanika jijini Dar es Salaam.Akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR AREJEA NCHINI AKITOKEA DJIBOUTI.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Muhammed Shein katikati akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Moahammed Mahmoud mara baada ya kuwasili Zanzibar akitokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA LEO BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na wabunge Mussa Ntimizi wa Igalula na Felista Bura wa Viti Maalum, bugeni mjini Dodoma Mei 10, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa...

View Article
Browsing all 117221 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>