MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma leo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua...
View ArticleBalozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kulia akikiongoza Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar akiwa Mwenyekiti Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Kushoto ni...
View ArticleMUFINDI YAENDELEA KUTEKELEZA SERA YA KUWA NA ZAHANATI KILA KIJIJI.
Na Afisa Habari MufindiHalmashauri ya Wilaya ya Maufindi imeendelea kutekeleza sera ya serikali ya kuhakikisha kila Kijiji kinakuwa na Zahanati kwa kuzindua na kuweka mawe ya msingi kwenye zahanati za...
View ArticleSERIKALI KUBORESHA KIWANGO CHA VYOO BORA KUFIKIA 2025
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza mbele ya wabunge na wadau mbalimbali wa afya na mazingira hwapo pichani wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ya...
View ArticleDC SHINYANGA APONGEZA WANANCHI KUJENGA KITUO CHA POLISI ISELAMAGAZI
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akikagua jengo la kituo cha Polisi kata ya Iselamagazi ambalo limejengwa kwa nguvu za wananchi wakishirikiana na mbunge wao wa Solwa Ahmed Salimu.Ukaguzi wa...
View ArticleWANANCHI KILOLO MKOANI IRINGA WATAKIWA KUUZA MAZAO YAO KWA VIPIMO SAHIHI
Mkuu wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Asia Abdalah akiwataka wananchi wa kijiji cha Irindi na Magana kata ya Mahenge kuachana na uuzaji mazao kwa vipimo batiliMkuu wa wilaya ya...
View ArticleBALOZI FATMA AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO NCHINI QATAR
Mhe. Fatma Mohammed Rajab, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Qatar akiwa katika mazungumzo na Mhe. Sultan bin Saad Al Muraikhi, Waziri wa Nchi, Mambo ya Nje wa Qatar. Mazungumzo hayo...
View ArticleMAZUNGUMZO YA BAINA YA MAWAZIRI WA TANZANIA ZANZIBAR NA DJIBOUTI
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakizungumza na Mawaziri wa Serikali ya Djibouti (hawapo pichani) walipokutana katika kujadili mambo mbali mbali masuala ya ushirikiano wa kiuchumi baina...
View ArticleMwakilishi na Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Wakabidhi Vifaa Kwa Shughuli...
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza nas Wananchi wa Shehia tatu za Bungi, Ubago na Tunguu wakati wa kukabidhi vifaa kwa ajili ya shehia hizo tatu kwa matumizi ya...
View ArticleEckobank Tanzania yawahakikishia wateja wake kuendelea na shughuli zake...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Ecobank Tanzania, Raphael Benedict amefanya mkutano na waandishi wa habari leo katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo, na kueleza kwamba hawana dhamira ya kusitisha...
View ArticlePUMA ENERGY YAGAWA FULANA MAALUM KWA BODABODA ZINAZOAKISI MWANGA WIKI YA...
Mratibu wa Masuala ya Usalama wa Afya, Mazingira na Udhibiti wa Ubora kutoka Kampuni ya Puma Energy, Rehema Madoffe akimvisha Abubakar Selemani mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi...
View ArticleBALOZI SYLEVESTER MABUMBA,AWASILISHA NAKALA YA HATI ZAKE ZA UWAKILISHI KWA...
Mhe. Sylvester Mabumba Balaozi wa Tanzania ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Visiwa vya Komoro jana tarehe 09 Mei aliwasilisha nakala za hati zake za uwakilishi kwa Mhe. Mohambed Baccar Dossar, Waziri wa...
View ArticleMNADA WA HADHARA: UBALOZI WA MAREKANI, SWEDEN, UNICEF & ELZABETH GLASER...
UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani, Sweden, UNICEF na Elzabeth Glaser Pediatric Aids Foundation watauza kwa mnada wa hadhara AVR,Magari , Generator na Fanicha...
View Article