Mkuu wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Asia Abdalah akiwataka wananchi wa kijiji cha Irindi na Magana kata ya Mahenge kuachana na uuzaji mazao kwa vipimo batili
Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah akiwahutubia wananchi mwenye kilembe cha madoa mekundu ni meneja wa vipimo mkoa wa Iringa Zainabu Kafungo. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
↧