ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
MTOTO HUYU PICHANI ANAITWA LINDA RAYMOND KOMBE AMEPOTEA NYUMBANI KWAO KINONDONI MKWAJUNI TAR 6/05/2017 KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA,YEYOTE ATAKAYEMUONA AWASILIANE NA WAZAZI WAKE KWA NAMBA 0714...
View ArticleKIKAO CHA ISHIRINI MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 9, 2017
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa mabo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba katika kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017. Waziri Mkuu...
View Articleshahidi adai aliambiwa Askofu Gwajima amekufa
Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, George Milulu ameieleza Mahakama ya kuwa alisikia uvumi kwamba Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Josephat Gwajima amefariki...
View ArticleBALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI INDIA ATEMBELEA OFISI ZA TIC
Balozi Mteule wa Tanzania nchini India, Baraka Luvanda akiongea akipokea Kitabu cha maswala ya Uwekezaji kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari...
View ArticleNSSF YATOA SEMINA KWA KIKUNDI CHA UMOJA WA MIRADI YA VIZIWI TANZANIA
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limetoa semina juu ya umuhimu wa hifadhi ya jamii kwa wanacama wa kikundi cha Umoja wa Miradi ya Viziwi Tanzania UMIVITA.Semina hiyo ilitolewa mwishoni mwa...
View ArticleDKT.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA NCHINI DJIBOUTI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (katikati) mara baada ya mapokezi...
View ArticleNEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio
Hussein Makame, NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa wito kwa wananchi walioko kwenye halmashauri mbalimbali nchini, kuitumia vyema fursa ya utoaji wa elimu ya mpiga kura kupitia redio za kijamii...
View Article“SERIKALI YATENGA BILIONI 30 KAMA FIDIA KWA WAKAZI WA KIPUNGUNI”-MHE.NGONYANI
Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi,na Mawasiliano imetenga Shilingi bilioni thelathini(30) katika mwaka wa fedha 2017/2018 ili kukamilisha malipo ya fidia kwa...
View ArticleUpelelezi kesi ya Masogange wakamilika.
Na Karama Kenyunko,blogu ya jamii.Baada ya mahakama kutoa hati ya kukamatwa Video Queen Agnes Gerald maarufu kama Masogange (28) kwa kushindwa kutoka mahakamani mara kadhaa, hatimae leo amejisalimisha...
View ArticleWAKAZI WA MKOA WA KAGERA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA ZAO BURE
Na Editha Karlo wa blog ya jamii,Kagera.WAKAZI wa Mkoa wa Kagera wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya soko kuu la Manispaa ya Bukoba kwenye zoezi la upimaji wa magonjwa yasiyoambukiza bure.Zoezi...
View ArticleWANAWAKE WA MSIKITI WA KHOJA SHIA ITHNA ASHERI WATOA MISAADA HOSPITALI YA...
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZAWANAWAKE wa Dini ya Kiislamu wa Msikiti wa Khoja Shia Ithna Asheri jijini Mwanza wametoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 2 kwa Hospitali ya...
View ArticleDk.Shein atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom nchini Djbouti
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Mawasiliano na huduma za Mitandao Bw.Abdi Youssoef wakati alipotembelea katika...
View ArticleUpelelezi kesi ya Masogange wakamilika
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.Baada ya mahakama kutoa hati ya kukamatwa Video Queen Agnes Gerald maarufu kama Masogange (28) kwa kushindwa kutoka mahakamani mara kadhaa, hatimae leo...
View ArticleWATU WATANO WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KWA NYUMBA YAO KUANGUKIWA NA MTI
Na Vero Ignatus, ArushaKutokana na mvua inayonyesha mfululizo Mkoani Arusha imeleta maafa makubwa katika familia ya mzee Jonathani Kalambiya{55} mkazi wa sokoni II katika kijiji cha kinyeresi wilayani...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani, Lawrence Masha kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 9, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na...
View ArticleIntrodicing new hit single "Nundu" by Harmorapa ft. Cpwaa & Ronei
Habari Ndugu, Naomba tuungane mkono kwa pamoja baada ya maneno mengi kuongeleka kuwa mimi ni msanii wa kiki. Ila sio kweli kuhusu hili na kuthibitisha nimeamua niachie wimbo mpya unaoenda kwa jina la...
View ArticleBREAKING NEWS: TEMBO WANNE WAONEKANA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) LEO, ASKARI...
Tembo wakiwa wamejificha kwenye vichaka ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo. Kwa mujibu wa taarifa za Wahifadhi wa Wanyamapori inaelezwa kuwa sehemu ya eneo hilo litakuwa ni njia ya tembo...
View Article