$ 0 0 Meneja wa Benki ya CRDB tawi la USA RIVER, Bi Jennifer Tondi akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bi. Esther Kitoka baada ya tawi lake kuibuka mshindi wa jumla wa kampeni ya Tumia Simbanking Ulipwe.