Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Saadala akizungumza na Balozi mdogo wa China Zanzibar Bw. Xie Xiaowu juu ya masuala mbali mbali ya kimaendeleo huko Afisi Kuu Zanzibar.
Balozi mdogo wa China Zanzibar Bw. Xie Xiaowu akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Saadala juu ya mahusiano ya CPC na CCM huko Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdalla Juma Saadala akitoa ufafanuzi kwa Balozi mdogo wa China Zanzibar Bw. Xie Xiaowu juu ya michoro na picha za waasisi mbali mbali wa vyama vya ukombozi duniani zilizopo katika chumba cha historia alichofariki Mwasisi Mzee Abeid Amani Karume Kisiwandui Zanzibar.