MAONYESHO YA SITA YA MADINI YA VITO YAANZA RASMI LEO JIJIJI ARUSHA
Na Woinde shizza, ArushaMaonesho ya sita ya madini na vito maarufua kama Arusha Gem fair yameanza rasmi jijini Arusha leo huku ikielezwa kwamba Wananchi wengi wanaoishi karibu na migodi inayochimbwa...
View ArticleMshindi wa mashindano ya 'Bball Kings' kujinyakulia kitita cha shilingi...
Kituo cha East Africa Television (EATV) na East Africa Radio kwa udhamini wa Kinywaji cha Sprite, kiimeandaa mashindano ya mpira wa kikapu yanayojulikana kama ‘Bball Kings’.Akizungumza na Waandishi wa...
View ArticleRAS TANGA ATAKA WAANDISHI WA HABARI KUPEWA USHIRIKIANO
KATIBU Tawala Mkoa Tanga Mhandisi Zena Said ameziagiza taasisi za Serikali na mashirika ya umma kutoa ushirikiano kwa waandishi wa habari pindi wanapohitaji taarifa kutoka kwenye taasisi hizo kwa ajili...
View ArticleMAKALA YA SHERIA: MKE ANARUHUSIWA KUUZA MALI YA MUMEWE BILA RIDHAA YA MUME...
Na Bashir Yakub.Matunzo ya mke kutoka kwa mme ni jambo la lazima. Kwa maana kuwa ni lazima mme kutoa mahitaji kwa mke wake .Hakuna uhiari katika hili. Ni lazima na neno...
View ArticleMahakama yawaachia huru wabunge watatu wa Ukawa na Makada wao
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wabunge watatu wa Ukawa na Makada wao baada ya kuonekana hawana kesi ya kujibu. Wabunge hao na wenzao walikuwa...
View ArticleRC NDIKILO AWATAKA WAKULIMA WA MATUNDA KULIMA KISASA ILI KUPATA SOKO NDANI NA...
Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo WAKULIMA wa matunda wametakiwa kulima kwa kutumia mbegu bora na kilimo cha kisasa ili kupata soko kwenye viwanda vinavyosindika zao hilo, ndani na nje ya nchi. Aidha...
View ArticleEFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA
KATIKA kuhakikisha watanzania wengi wanapata matangazo yake, Kituo cha Utangazaji cha Efm kimetanua matangazo yake kwa kuongeza masafa ya 91.3 fm Mkoani Mwanza huku Uongozi ukibainisha kuwa, matarajio...
View ArticleVIDEO: HUSSEIN MACHOZI AACHIA VIDEO NA WIMBO MPYA ‘NIPE SIKUACHI’
Baada ya kukaa kimya kwa miezi kibao bila kuachia wimbo, Hussein Machozi ameachia wimbo mpya uitwao, Nipe Sikuachi. Wimbo huo umetayarishwa na mshindi wa tuzo ya mtayarishaji bora wa Bongo Flava katika...
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA PALESTINA DR.RIYAD MALIKI,AKARIBISHA KURA YA...
Ramallah, Mei 2, 2017 (Wafa) – Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina Dr. Riyad Maliki,Jumanne ya wiki hii amekaribisha matokeo ya kura ya Bodi ya Utendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia...
View ArticleWAGOMBEA URAIS NCHINI UFARANSA WAPIGANA VIJEMBE KATIKA MDAHALO
Mdahalo wa televisheni wa baada ya duru ya kwanza na kabla ya duru ya pili ya uchaguzi wa urais nchini Ufaransa ulifanyika Jumatano, Mei 3, mjini Paris. Wagombea urais wawili Emmanuel Macron na Marine...
View ArticleMASHINDANO YA KUMBUKUMBU YA HABIBU MNDEME MAARUFU KAMA HABIBU CUP YAMALIZIKA...
Mgeni rasmi katika mashindano ya kumbukumbu ya Habibu Mndeme ,Thabiti Mndeme akimkabidhi kikombe cha umalkia wa mchezo wa netiboli wa timu ya Green Bird Collage .Mgeni rasmi katika mchezo wa fainali za...
View ArticleTADB, SUA INK AGREEMENT ON RESEARCH AND DEVELOPMENT COOPERATION
TADB’s Acting Managing Director, Mr. Francis Assenga (centre) chairs an agreement meeting on research and development cooperation when SUA’s Principal of College of Agriculture, Prof. Susan...
View ArticleWakandarasi 3,000 nchini wafutiwa usajili kwa kukiuka sheria.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameagiza kuwa miradi yote yenye thamani isiyozidi bilioni 10 wapewe Wakandarasi wa ndani hasa kwa miradi inayotekelezwa kwa...
View ArticleSERIKALI YA AWAMU YA TANO YAPONGEZWA KWA KUENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA
Spika Mstaafu wa Bunge na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anna Makinda akiwasili katika ukumbi wa Ledger Hotel Jijini Dar es Salaam kufungua Kongamano...
View ArticleSERIKALI KUBORESHA BARABARA ZA MAJIJI: WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ina mkakati wa kufanya yote nchini yawe na barabara za viwango vya kimataifa na zinazopitika kwa urahisi.“Tumeanza kujenga barabara za kisasa katika jiji la...
View ArticleDASANI MARATHON KUFANYIKA MEI 14,2017 JIJINI DAR
Kampuni ya Coco- Cola Kwanza kupitia Maji ya Dasani imedhamini mashindano ya riadha marathon ‘Dasani Marathon’ itakayofanyika Mei 14 jijini Dar es Salaam.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar...
View ArticleMAVUNDE:VIJANA MILIONI 4 KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA VITENDO
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiNaibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amesema Vijana zaidi ya Milioni Nne nchini watafikiwa na programu ya mafunzo kwa Vitendo ili...
View Article