Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 117112 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA UCHAGUZI YAMTEUA NDG. CATHERINE RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA

  Ndugu Catherine Nyakao Ruge KUHUSU UTEUZI WA CATHERINE NYAKAO RUGE KUWA MBUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO Kwa mujibu wa Ibara ya 78(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI HAINA MPANGO WA KUSITISHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU-MHE.MHAGAMA

Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.Serikali imesema kuwa haina mpango wowote wa kusitisha mbio za Mwenge wa Uhuru na kusisitiza kuwa dhana hii ni endelevu na itaendelea kutoka kizazi kimoja hadi kingine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KWA WITO WA KUIMARISHWA HUDUMA...

Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar.Hospitali na Vituo vya Afya vya Wilaya vinaweza kupunguza idadi ya akinamama kujifungulia Hospitali kuu ya Mnazimmoja iwapo juhudi za kuandaa mazingira mazuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SABA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI...

 Mwenyekiti wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge  akiongoza kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.  Wabunge wa CCM wakijadili...

View Article

SERIKALI HAITASITISHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU -MHE JENISTA MUHAGAMA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI ARUSHA WAPEWA ELIMU YA MADINI

Na Asteria Muhozya, Arusha. Jumla ya Wanafunzi 55 kutoka  Shule za Sekondari za Arusha Day, Arusha Sekondari na Wining Sprit wenye  umri kati ya miaka 12- 15 wamepatiwa mafunzo ya Jemolojia katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI...

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi ametembelea Ubalozi wa Tanzania Nairobi Kenya na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Mheshimiwa Balozi Mteule Dkt. Pindi Hazara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Tanzania Saudi Arabia atumia Sikukuu ya Muungano kutangaza Utalii

Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, H.E Hemed Mgaza, kushoto akifurahia jambo katika Sikukuu ya Muungano wa Tanzania iliyoadhimishwa nchini humo kwa kukutanisha Watanzania wanaoishi Saudi Arabia,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benk ya TIB Corporate ltd yadhamini Mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya...

Mkuu wa masoko wa  Benk ya TIB Corporate ltd  Bi. Theresia Soka akipokea hati ya shukran toka Kwa mgeni rasmi Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudiwa na Waziri wa Ujenzi na uchukuzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA

Katika azma yake ya  kuhakikisha Watanzania wengi wanapata matangazo yake, Kituo cha Utangazaji cha EFM  kimetanua matangazo yake kwa kuongeza masafa ya 91.3 fm Mkoani Mwanza huku Uongozi ukibainisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU

MAREHEMU MWALIMU NOVATI SIMEON RUTAGERUKATAREHE 5 - MEI - 2017, UMETIMIZA MIAKA SABA TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI.  PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA...

View Article

INTRODUCING J masso's Ng'ong'oza

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU...

Aliyekuwa Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta  ambaye anajiandaa kustaafu, Bw. Fortunatus Kapinga akizungumza wakati wa kuwatuza wafanyakazi hodari wa shirika. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa wilaya Iringa Mhe Richard Kasesela akagua ujenzi wa madarasa na...

Mkuu wa wilaya Iringa Mhe Richard Kasesela leo amefanya ziara ya kukagua madarasa na mabweni katika shule ya sekondari Tagamenda ikiwa ni maandalizi ya kupokea kidato cha 5 mwezi wa 7. Katika ziara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAANZA KUWABANA WADAIWA SUGU WA BILI ZA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM

Na Khalfan Said“MANENO ni mawili tu “KA na TA” ukiunganisha Kata, asiyelipa kateni umeme” Hayo yalikuwa ni maneno ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AIOMBA ROTARY CLUB ISAIDIE KUKABILIANA NA MALARIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Klabu ya Rotary nchini uangalie uwezekano wa kuisaidia Serikali kupambana na ugonjwa wa Malaria.Waziri Mkuu Majaliwa ambaye leo hii (Alhamisi, Mei 4,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWANJA WA NDEGE DODOMA KUANZA KUPIGA MZIGO MASAA 24

Serikali iko katika hatua za mwisho za kukamilisha mradi wa kufunga Taa za kuongozea ndege ili kuruhusu Uwanja wa Ndege wa Dodoma kuweza kutumika masaa 24. Akizungumza hayo mjini Dodoma mara baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUZI TV: SERIKALI KUBORESHA BARABARA ZA MAJIJI: WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ina mkakati wa kufanya Majiji yote nchini yawe na barabara za viwango vya kimataifa na zinazopitika kwa urahisi. “Tumeanza kujenga barabara za kisasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA MAY 5,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siku ya kuzaliwa Mhe. Luhaga Joelson Mpina

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Joelson Mpina anakumbuka siku yake ya kuzaliwa Leo.Heri ya siku ya Kuzaliwa Mhe. Mpina Mungu akupe Maisha Marefu.

View Article
Browsing all 117112 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>