Maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani Yaadhimishwa Zanzibar
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mohmoud Thabit Kombo akipokea maandamano ya Wakunga na Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliofanyika katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.Waziri...
View ArticleTANESCO YAANZA KUWABANA WADAIWA SUGU WA BILI ZA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM
Mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam, wakiwa na kifaa cha kukatia umeem, tayari kwa kazi kwenye transfoma ya kupeleka umeme kwenye eneo la kiwanda eneo...
View ArticleUS Chargé d’Affaires Visits Partners in Mwanza, Highlights Cooperation...
U.S. Chargé d’Affaires Virginia Blaser speaking with Tanzanian game scouts at the Pasiansi Wildlife Training Institute in Mwanza on May 3, 2017. Chargé Blaser observed students at the Institute...
View ArticleSERIKALI KUBORESHA BARABARA ZA MAJIJI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa maelekezo Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Arusha, Eng. Mgeni Mwanga juu ya upandaji nyasi kwenye eneo la katikati ya barabara wakati akikagua ujenzi wa barabara ya...
View ArticleZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KWA WITO WA KUIMARISHWA HUDUMA...
Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar.Hospitali na Vituo vya Afya vya Wilaya vinaweza kupunguza idadi ya akinamama kujifungulia Hospitali kuu ya Mnazimmoja iwapo juhudi za kuandaa mazingira mazuri...
View ArticleHII NI HATARI
Nguzo ya umeme ikiwa inaning'inia katika barabara ya Moshi Bar Gongolamboto jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi kama ilivyonaswa na mdau wa Globu ya Jamii Zourha Malisa.
View ArticleMawakala wakubwa wa matangazo dunia Havas Group waingia Tanzania
Havas Group ni moja kati ya mawakala wakubwa wa matangazo ya biashara yenye mtandao mpana duniani kote. Ikiwa na makao makuu nchini Ufaransa, Havas inapatikana katika nchi 149 zikiwemo nchi 19 barani...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ANUNUA HISA ZAKE NA ZA MKE WAKE TOKA VODACOM...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiongea wakati wa hafla ya ununuzi wa hisa za Vodacom Tanzania PLC iliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam, ambapo alinunua...
View ArticleWANASIASA WATAKIWA KUACHA KUWAITA WANANCHI WA HALI YA CHINI MASIKINI - DKT....
Wanasiasa wameshauriwa kuacha kuwakatisha tamaa wananchi kwa kuwaita masikini hali inayosababisha washindwe kuchangia na kushiriki kikamilifu katika miradi na shughuli za maendeleo hususani miradi...
View ArticleONESHO LA UNTOLD STORY KUFANYIKA MAKUMBUSHO YA TAIFA MEI 18
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMSANII wa Sanaa za Maonyesho Amani Kipimo anataraji kufanya onesho la Igizo la Jukwaani linalokwenda kwa jina la Untoldy Story litakalo fanyika katika ukumbi wa...
View ArticleTANZANIA YAPOKEA TUZO UMEME VIJIJINI
Jitihada za Wizara ya Nishati na Madini za kuhakikisha umeme unafika na kusambaa maeneo ya vijijini zimetambuliwa kimataifa hali iliyopelekea Serikali kupokea Tuzo ya Uwezeshaji wa Mazingira Bora ya...
View ArticleWaziri Mahiga afungua sherehe za maadhimisho ya 69 ya uhuru wa Israeli, Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga jana alifungua hafla ya maadhimisho ya 69ya uhuru wa Taifa la Israeli yaliyo fanyika mjini Dodoma katika...
View ArticleTAARIFA YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KWA MWAKA 2017 MKOANI RUVUMA
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dokta Binilith Mahenge akisoma taarifa ya mkoa pamoja na miradi ambayo mwenge wa Uhuru 2017 utafanya kazi ya kufungua, miradi itakayozinduliwa, itakayowekwa mawe ya msingi na...
View ArticleUTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI WA MWAKA 2016/17 KUFANYIKA DAR ES...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema akizungumza hivi karibuni na Wadau wa Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI Tanzania wa mwaka 2016/17. Kwa Dar es Salaam, utafiti huu unatarajia kuanza...
View ArticleWafanyakazi NMB kuchangia upasuaji wa watoto wenye mdomo Sungura
Baadhi ya wafanyakazi wa kitengo cha Corporate Support cha NMB wakipiga picha na mmoja wa wanufaika wa wanufaika wa upasuaji wa mdomo Sungura uliotolewa na wafanyakazi wa kitengo cha Corporate Support...
View ArticleRais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete katika Mkutano wa World Economic Forum on...
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameshiriki Mkutano wa World Economic Forum for Africa unaofanyika Durban, Afrika Kusini. Mkutano huo muhimu unaokutanisha wafanyabiashara, wanasiasa na viongozi...
View ArticleWIZARA YA MAMBO YA NJE YAPOKEA MSAADA WA MAGARI KUTOKA OMAN
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) (katikati), akipokea funguo za Magari aina ya Toyota Land Cruiser kutoka kwa Balozi wa Omani hapa nchini, Mhe....
View ArticleJICA yaipongeza Muhimbili kwa kuboresha huduma
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii , Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan –JAICA- wametoa mrejesho wa utekelezaji wa mpango wa kuboresha huduma na...
View Article