$ 0 0 Nguzo ya umeme ikiwa inaning'inia katika barabara ya Moshi Bar Gongolamboto jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi kama ilivyonaswa na mdau wa Globu ya Jamii Zourha Malisa.